Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Game OVER n thats it......2-1 its a WIN that takes us to the 5th round.....
 
....kitu kinachonisumbua Arsenal ni kuwa hata timu ndogo zinatupa shida sana.....yaani kila timu sisi tuna hofu tu,

Hili swala mpa linaboa sasa,kuna wachezaji Wenger kawadekeza vibaya sana kiasi cha kwamba hawajali perfomance yao kabisa.

Inakera sana kuona tunashikwa shati mpaka dakika ya mwisho na timu kama hizi.
 
Wenger sasa aende kusajili beki sasa hivi kama yuko serious .

Si umeona cover aliyokuwa anaizungumzia???? (SONG) ambaye ni mfupi kama tutapata 4wards opponents warefu....HATASAJILI.....hata kwenye Friday night live TOM WATT alilizungumzia sana hili la kusajili a new CB......ANYWAY am HAPPY that we r still in all 4 competition that all the BEST PL teams were suppose to be........
 
Dah! haka kateam kametuundesha kweli kweli. Miye mwenzenu kiti kilikuwa hakikaliki na roho mkononi dah!...Hongera wapenzi na wanachama wote wa GUNNERS. Jamaa walikuwa wanatumia ubavu kuliko kawaida.
 
haikua diving....Kulikua na direct contact pale.......anyway what else could u say......???????

Football is contact sport, it doesn't mean you have to go down everytime unapogusana na mpinzani ndani ya box.....najua utasema ni penalty kwa sababu zilizo wazi kabisa.
 
...natamani wange delay kumpeleka Ramsey Cardiff on loan!
Nadhani tunaweza kumuita Ramsey kama yunamuhitaji, iwapo Wenger hakuweka hiki kipengele katika hio loan deal atakuwa ni mzembe.
BTW Nasri ni muhimu sana sana kwa sasa timu inakuwa na balance na kuelewana zaidi tukichezesha kile kikosi chetu cha mauaji, kwa mimi Scezny, Djourou, Fab, Song, Nasri, RVP na Walcolt ni wachezaji muhimu sana kwa sasa na kukosekana mmojawapo ni pengo.
 
Yaani unasema with confidence kwamba ile ni penalty na RED CARD?! Au kwa sababu Fabregas alikuwa anamforce refa atoe red card? To be honest, it's more of the diving by Bendtner than a foul, jaribu kuwa mKWELI for once.

So what u mean is there was no contact btn the two???? with ur two eyes unaona that was DIVING?????? PEASANT I know u wanted a reply ili tuwe kama BLUES jana.....But sipendi kuwa mshabiki kwa sana that was really a positive deserved penalty with a STRAIGHT RED CARD.....
 
Football is contact sport, it doesn't mean you have to go down everytime unapogusana na mpinzani ndani ya box.....najua utasema ni penalty kwa sababu zilizo wazi kabisa.

Mkuu Peasant vipi tena hakuna hata hongera? Ile ni obstruction dhahiri ambayo kama isingefanywa basi ingeweza kabisa kuzaa goli na hivyo ilistahili kutolewa penalty.
 
Mkuu Peasant vipi tena hakuna hata hongera? Ile ni obstruction dhahiri ambayo kama isingefanywa basi ingeweza kabisa kuzaa goli na hivyo ilistahili kutolewa penalty.

Mkuu nimeshatoa hongera kwenye post huko nyuma naomba ujaribu kutafuta.
 
Football is contact sport, it doesn't mean you have to go down everytime unapogusana na mpinzani ndani ya box.....najua utasema ni penalty kwa sababu zilizo wazi kabisa.

Mkuu wachezaji wote karibia wana dive wakipata nafasi ya kuchukulia advantage,haijalishi contact ni kubwa au ndogo ni maamuzi yako mchezaji kuna wakati utapewa unachotaka na wakati mwingine hutopata unachotaka.

Mimi binafsi ningependelea Ben pale angejikaza tu na kufunga. Lakini yeye ndio anajua contact ilikuwa kubwa vipi na kumsabibishia kufanya maamuzi ya kuomba penati.

Mwisho wa siku mkuki kwa nguruwe........... Ingetokea kwa Drogba pale ungekuwa upande wetu wa kutetea.
 
Football is contact sport, it doesn't mean you have to go down everytime unapogusana na mpinzani ndani ya box.....najua utasema ni penalty kwa sababu zilizo wazi kabisa.

Zipi??? kuwa tunataka Ushindi???? Nope!!! kunapokuwa na ROUGH contact nawe upo katika motion inakua easy zaidi kulose balance na kwenda chini....So aliyesababisha hiyo rough contact anakua penalized...and thats what happened...
 
Mkuu wachezaji wote karibia wana dive wakipata nafasi ya kuchukulia advantage,haijalishi contact ni kubwa au ndogo ni maamuzi yako mchezaji kuna wakati utapewa unachotaka na wakati mwingine hutopata unachotaka.

Mimi binafsi ningependelea Ben pale angejikaza tu na kufunga. Lakini yeye ndio anajua contact ilikuwa kubwa vipi na kumsabibishia kufanya maamuzi ya kuomba penati.

Mwisho wa siku mkuki kwa nguruwe........... Ingetokea kwa Drogba pale ungekuwa upande wetu wa kutetea.

Neno hilo Mkuu inaelekea Mkuu Peasant hakupenda kutuona tukiendelea katika 5th round.
 
Nashukuru kwanza kwa kukubali kwamba ile ni dive, kudo for that.
Pili, sijawahi kumtetea Drogba kwa diving zake, if anything ananiboa sana anapodive ukizingatia umbo lake kubwa tunategemea the opposite.
Sijasema goli lenu lifutwe au vipi, nilichopoint out ni kwamba ile ni dive basi.
 
Yaani unasema with confidence kwamba ile ni penalty na RED CARD?! Au kwa sababu Fabregas alikuwa anamforce refa atoe red card? To be honest, it's more of the diving by Bendtner than a foul, jaribu kuwa mKWELI for once.
Sawa nakubali kulikuwa na minimal contact ilakinachomata ni kufuata kanuni, sheria ziko wazi iwapo mchezaji ni last man na amemnyima mchezaji pinzani goal scoring opportunity mchezaji huyu inabidi aende nje na kadi nyekundu. Sasa kwa vile refa aliona kulikuwa na contact na alitoa adhabu alipaswa atoe kadi nyekundu (hii ndio sheria) whether you or me think there were no contact is irrelevant, kila siku tunasema marefa hawana consistent, ilikuwa mawili ama ampe kadi Bendtner kwa diving ama ampe advantage Bendtner kwa penalti, kwa vile aliamua the later ilibidi kadi nyekundu ifuatie na sio ya njano.
 
Neno hilo Mkuu inaelekea Mkuu Peasant hakupenda kutuona tukiendelea katika 5th round.

Hapana kabisa mkuu, napenda kuona FA Cup inakuwa timu nzuri kwenye round za mwisho, lakini hiyo hainifanyi kutotoa opinion zangu napoona kuna utata.
 
Yaani ilikuwa ni narrow survival, nilikuwa nimekaa na madogo wa man u na ze bluz sikuwa na hamu hata ya kuchangia hapa!
 
Back
Top Bottom