Ebwana we jamaa ushakua expert memberHii proposal sijaona uzuri wake kwa sasa
Ebwana we jamaa ushakua expert memberHii proposal sijaona uzuri wake kwa sasa
Grass always greener theory...Hii proposal sijaona uzuri wake kwa sasa
😀 😀 😀 😀 hata sifuatilii wewe ndo unaniambiaga. Kuna umuhimu wowote wa kuwa expert member? Maana sidhani mimi ni mbobezi wa maswala ya Arsenal kabisa, wataalam hao wapo humu ila si mimi 😀😀Ebwana we jamaa ushakua expert member
Hapo kwenye swala la Primary na Secondary napinga 😀 😀 😀 😀 Kujadili Arsenal na kuwakera timu pinzani vyote ni Primary siyo kimoja primary alafu kinginesecondary. Hizi timu ndogo kama Chelsea,Sp*rs na ManUtd zikifungwa ni sherehe humu 😀😀
Hizi timu ndogo kama cheltako kuwakera ndio jadi ýetu, so ni suala la msingi hilo, naamini kuwakeraa hao jamaa ni muhimu kuliko kula.
Hahaha haina faida ila ni title anayogewa member aliyepost mara nyingi😀 😀 😀 😀 hata sifuatilii wewe ndo unaniambiaga. Kuna umuhimu wowote wa kuwa expert member? Maana sidhani mimi ni mbobezi wa maswala ya Arsenal kabisa, wataalam hao wapo humu ila si mimi 😀😀
Kivipi mbona nasikia manyumbu na loserfool ndio waliosuggest hii mambo? Au watu waliwasingizia?
😀😀Niliwaza mawili. 1: JF watanitafuta niwape account number wawe wananiwekea hata 50k kwa mwezi kwa uexpert wangu. au 2. watu watakuwa wananiuliza mimi maswala ya usajili na maendeleo ya club utadhani mimi niko pale London naonana na kina Auba kila siku na nakunywa chai na Mikel na Edu 😀😀 kama ninavyojua ndo Aaron Arsenal anavyofanya 😃😃Hahaha haina faida ila ni title anayogewa member aliyepost mara nyingi
City 3-1 ArsenalMy prediction Vs CityView attachment 1597293
Chelsea hamna anayejua kuchambua wala hamna anayewapelekea update nenda kwenye uzi wao waambie wewe ni expert member umekuja kuupa uhai uzi wao yaani hiyo 50K mbona ndogo. Wataanza kukuita Masia😀😀Niliwaza mawili. 1: JF watanitafuta niwape account number wawe wananiwekea hata 50k kwa mwezi kwa uexpert wangu. au 2. watu watakuwa wananiuliza mimi maswala ya usajili na maendeleo ya club utadhani mimi niko pale London naonana na kina Auba kila siku na nakunywa chai na Mikel na Edu 😀😀 kama ninavyojua ndo Aaron Arsenal anavyofanya 😃😃
Kepa anauzwa?City 3-1 Arsenal
Una hela ya kumnunua?Kepa anauzwa?
Cc Aaron Arsenal😀😀Niliwaza mawili. 1: JF watanitafuta niwape account number wawe wananiwekea hata 50k kwa mwezi kwa uexpert wangu. au 2. watu watakuwa wananiuliza mimi maswala ya usajili na maendeleo ya club utadhani mimi niko pale London naonana na kina Auba kila siku na nakunywa chai na Mikel na Edu 😀😀 kama ninavyojua ndo Aaron Arsenal anavyofanya![]()

nakuona unagonga spannish pizza na mikelSiyo mimi. Timu ya wanawake ya Norwich inamtaka.Una hela ya kumnunua?
Kwan na wewe unaweza kuchambua mpira?Chelsea hamna anayejua kuchambua wala hamna anayewapelekea update nenda kwenye uzi wao waambie wewe ni expert member umekuja kuupa uhai uzi wao yaani hiyo 50K mbona ndogo. Wataanza kukuita Masia


Kwa iyo wewe ndio Matron wao siyo?Siyo mimi. Timu ya wanawake ya Norwich inamtaka.
Wanaopenda vya bure wamewekewa jela na guest. Shauri yako
Mi ni dalali tu boss wanguKwa iyo wewe ndio Matron wao siyo?
Jela na guest si alienda John Terry baada ya kufumaniwa na mke wa mtu? Vipi aliwahadithia kilichomkuta gest?Wanaopenda vya bure wamewekewa jela na guest. Shauri yako