Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Happy Birthday mesutozil who turns 32 today!

254 appearances
️ 44 goals
77 assists
4 FA Cups
3 Community Shields

The most decorated player of the Emirates era.

IMG_20201015_140806.jpg
 
‘I am German when we win, but an immigrant when we lose’ - Mesut Özil, 2018.

We haven’t forgotten.
IMG_20201015_141414.jpg
 
Mikel Arteta on if he expects any players to leave on loan:

“Not at the moment. [Saliba staying?] Yes.” #afc
 
Ngoja niseme kitu mcha-mbuzi mwenzangu.

Strikers kua wawili siyo lazima iwe 4 4 2 as ikiwa hivyo utakosa mchango wa pasi hatari za Havertz.

So yaweza kuwekwa 4 3 1 2 au 3 4 1 2. Katika formation yoyote hapo Hiyo 1 ndiyo awe Havertz halafu 2 ni Timo na yeyote kati ya Abraham au Giroud.

Ila umesema Lampard anaona mbali ngoja tusubiri tuone ila kwa sasa acha wenye London yetu tuendelee kuimba.
Lampard anajua kuliko sisi wacha-mbuzi wa chini ya muembe wa JF. Katika mifumo yote hiyo uliyoiweka zingatia glorious talents za Mount na Kai na nilikwambia kabla bado ana struggle kupata 1st eleven huku baadhi ya wachezaji wakiwa majeruhi.

Assume 4-3-1-2 hiyo si ndio 4-4-2 imenyumbuliwa kidogo. Huo mfumo mwingine bado kuna wachezaji hutaona potential yao.
 
Arteta on Tierney:


"This is getting very complicated when we are sending players abroad & obviously you lose control, some authorities have different regulations to the Premier League. We are still having some discussions with the authorities & we will know more this afternoon"
IMG_20201015_142311.jpg
 
Arteta on if Thomas will play against Man City:

"Today he will have his first training session, so everything has to come really quickly for him. We knew that before we signed him that he is fit, he is very willing to start playing & we will see how he goes in the next few days"
IMG_20201014_082740.jpg
 
Wenger supports Ozil:

"Mesut Ozil is an exceptional football player. What happens at the moment between him and the club looks to be more confrontational, its not based only on sport, I'm convinced."

"He can fight, contrary to what people think."

https://t.co/8u1fTt8Gjl
 
Sawa. Mkeka wangu wa weekend Man City ashinde na magoli kuanzia mawili, Aston Villa asipate CS, Liver na Everton watoe magoli mawili tuu. Weka 100k na kuendelea
Mzee unaonekana upo skilled kwenye kubet. Binafsi game ya liva naona Adrian, Rodriguez, Allan na Calvert-Lewin wakikuharibia mkeka
 
Wyne Bridge kiazi tu yule alikua hapigi show ya maana.
Nduguye akamsaidia akamind. Alafu hapo ni muingereza mwenzake, Chelsea wangekuwa na mchezaji wa kizaramo mzee wa supu ya pweza na mixer ya nazi na karanga akamkamatia si ingeekuwa balaa zaidi? 😀😀
 
Mzee unaonekana upo skilled kwenye kubet. Binfasi game ya liva naona Adrian, Rodriguez, Allan na Calvert-Lewin wakikuharibia mkeka
Hiyo game ya Liver na Everton yan total goals yawe mawili na kuendea 1-2,1-1,3-2,0-2

Najua DCL hawakosi na Liver nao watarudisha majibu tu
 
Nduguye akamsaidia akamind. Alafu hapo ni muingereza mwenzake, Chelsea wangekuwa na mchezaji wa kizaramo mzee wa supu ya pweza na mixer ya nazi na karanga akamkamatia si ingeekuwa balaa zaidi? 😀😀
kuna mtu alikua anaitwa Meireles yule kwa muonekano tu anaonekana chafu pozi.
 
Back
Top Bottom