Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger on that £40m plus £1 bid for Suárez:

"The agent claimed there was a clause: an offer above £40m, Liverpool would be obliged to let the player go. Thanks to an indiscretion within Liverpool, I found his clause never existed. To check this was true, we offered £40,000,001"

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee muhuni sana

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hawa watu ni wapuuzi tu.

Anadhani ukimya wa wengine ni wajinga. Nilisema hapa ninao ushahidi wa tuhuma zilizotòlewa juu ya Aaron.
Kama huo ushahidi unautoa humu katika jukwaa la arsenal sawa tuwekee mkuu, ila kama ni nje ya jukwaa hili Nafikiri ni vema mkamalizana hukohuko itakuwa vizuri zaidi, maana nijuavyo JF ina taratibu zake,

Binafsi sioni sababu za kuchanganya maudhui, la kule libaki kule na la huku libaki huku, siku Castr atatuletea yale ya jukwaa lake pendwa humu...

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Aaron Arsenal usiwe mwepesi kusema mtu ana chuki... Ni neno zito. Same goes kwa isajorsergio na Relief Mirzska ni neno la lawama.

Binafsi sikutaka kuaddress ishu yenu kwakua naamini humu wengi mnanipita umri na with age comes wisdom. Mostly nikishindwana na mtu hua namuitikia na kumuacha, nikitoa boko naomba samahani.

Niliwahi kutukanwa na member fulani Arsenal fan pia kwenye huu huu uzi. Nikaachana na uzi ili nimsubiri apoe. Katika kila ishu kunakua na sababu primary kisha inakuja sababu secondary chochote utakachofanya ni lazima kisimamie kufanikisha sababu primary.

Sisi kukutana kwenye huu uzi sababu primary ni kupata taarifa za Arsenal, kukutana na Arsenal fans wengine na kubadilishana nao maoni, mimi naamini kuna vitu vingine ukisoma hapa hata ukikaa kijiweni kwenye ubishi wa mpira unaweza ukatumia hoja za humu.

Sababi secondary ni kuwacheka timu pinzani.

Hapa kuna swala limetokea linamaliza siku ya nne nafikiri, hili swala litatuzuia katika kuikamilisha sababu primary? Ndiyo? Tuko tayari kulitatua ili kuendelea kuenjoy hii sababu primary? Now hii ni juu yenu wahusika wakuu sisi ni watazamaji na tutashauri itakapotakiwa.

Kuna siku kuna member alisema sijui kiingereza, nikamkubalia, kwasababu sikuona sababu ya kubishania ishu kama hiyo na ikazuia kuenjoy sababu primary plus inawezekana nikawa najua kiingereza kumzidi. Aaron Arsenal aliwahi kusuggest sina akili timamu nikamkubalia pia kwakua najua siyo kweli. Sasa Nimevukaje mitihani yote ya darasani?

Anyway, at times tutapokea blows and something like those. Muda mwingine blows hutapokea kutoka kwa plastic wa chelsea au pundamilia ila utapokea kutoka kwa Castr, Arsenal mwenzio.

So you just deal with it ili tuendelee kua na sababu ya kua humu. Naamini mtasolve kwa urahisi kabisa.

Tuliambiwa This Is Family.
 
Castr well said! Nipende kusema sina chuki na yeyote sio jukwa hili wala maisha yangu. Hili suala limepita na niliomba apologize kwa yeyote ambaye amekuwa offended na jumbe zangu, kwa kutambua na kuheshimu hisia za wengine.

Nichelee kusema still young and probably too young to you all, najitahidi kuheshimu kila mtu in any life intervals physically na psychologically. Najitahidi kutanguliza hekima, busara, utu na power of positivity lakini bado naamini naweza kumkwaza mtu in any other aspects! What's right to me can be wrong to others. Still naamini I can be wrong in round of 2%, ninapokosa vyema kunirekebisha and move on!

Pole, na samahani ya juu kwa yeyote yule aliyeguswa na allegations zangu.

We good, we move.
- Serg
 
Aaron Arsenal usiwe mwepesi kusema mtu ana chuki... Ni neno zito. Same goes kwa isajorsergio na Relief Mirzska ni neno la lawama.

Binafsi sikutaka kuaddress ishu yenu kwakua naamini humu wengi mnanipita umri na with age comes wisdom. Mostly nikishindwana na mtu hua namuitikia na kumuacha, nikitoa boko naomba samahani.

Niliwahi kutukanwa na member fulani Arsenal fan pia kwenye huu huu uzi. Nikaachana na uzi ili nimsubiri apoe. Katika kila ishu kunakua na sababu primary kisha inakuja sababu secondary chochote utakachofanya ni lazima kisimamie kufanikisha sababu primary.

Sisi kukutana kwenye huu uzi sababu primary ni kupata taarifa za Arsenal, kukutana na Arsenal fans wengine na kubadilishana nao maoni, mimi naamini kuna vitu vingine ukisoma hapa hata ukikaa kijiweni kwenye ubishi wa mpira unaweza ukatumia hoja za humu.

Sababi secondary ni kuwacheka timu pinzani.

Hapa kuna swala limetokea linamaliza siku ya nne nafikiri, hili swala litatuzuia katika kuikamilisha sababu primary? Ndiyo? Tuko tayari kulitatua ili kuendelea kuenjoy hii sababu primary? Now hii ni juu yenu wahusika wakuu sisi ni watazamaji na tutashauri itakapotakiwa.

Kuna siku kuna member alisema sijui kiingereza, nikamkubalia, kwasababu sikuona sababu ya kubishania ishu kama hiyo na ikazuia kuenjoy sababu primary plus inawezekana nikawa najua kiingereza kumzidi. Aaron Arsenal aliwahi kusuggest sina akili timamu nikamkubalia pia kwakua najua siyo kweli. Sasa Nimevukaje mitihani yote ya darasani?

Anyway, at times tutapokea blows and something like those. Muda mwingine blows hutapokea kutoka kwa plastic wa chelsea au pundamilia ila utapokea kutoka kwa Castr, Arsenal mwenzio.

So you just deal with it ili tuendelee kua na sababu ya kua humu. Naamini mtasolve kwa urahisi kabisa.

Tuliambiwa This Is Family.
@Castr Ninaposema huyo jamaa ana shida na Mimi namaanisha , ndio maana direct alinishambulia bila ushahidi, ni sababu ana chuki Fulani na Mimi,

Hayo maswala tuliyamaliza,

Kama kuna sehemu nilisema kwa kumaanisha huna akili timamu nisamehe ...kinachotuunganisha kwenye hili jukwaa ni Arsenal , sikingine ,

Kwasasa sitazungumzia tena haya maswala ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ngumu na inaonekana haiwezekani Xhaka, Thom na Mo kuanza pamoja as timu itajikaba.

Lakini liva inacheza 4 3 3 single pivot ila Fabinho na Henderson ni DMF na Gini anasapoti ulinzi ingawa akiwa timu ya taifa anacheza kusapoti attacking.

Kwao kuchezesha defense minded mid siyo tatizo as wanakabia juu, wanajitoa sawa kwa sawa pia wana wingers wazuri. On paper & stats Arsenal ina wingers wazuri pia nafikiri kuna mechi tutakuta hawa watatu wapo pamoja and it will be among the best performance ya timu yetu.

Kuangalia timu pinzani ikistruggle kupita huku ikishindwa kupiga pasi tano bila kunyang'anywa mpira ni feeling ya kuridhisha.

Nasubiria hii siku pia.
 
Mkuu unataka arsenal icheze kama liverpool au sijakuelewa!?

Kuna mpira fulani hivi arsenal huwa inacheza ni mtamu sana na siku ikiwa perfect pasi zinaanzia kwa kipa mpaka tunafunga goli bila adui kugusa mpira. Hapa sasa ndo utaenjoy. Achana na mpira wa liverpool.

Kucheza na high defensive line ni vizuri lakin siku ikitoboka mnapigwa haswa, mfano mechi ya aston villa na liverpool.
 
Hahaha hapana Arsenal sitamani icheze kama timu yoyote. Mourinho alifukuzwa Chelsea kisa haichezi kama Arsenal, sisi tupo level nyingine.

Nilimaanisha kua na watu stronger 3 katikati itamaanisha tutegemee wingers kama liva.
 
WACHA NIKUPE MADINI MAPYA AMBAYO EPL CLUB WANACHOTAKA KUKIFANYA

Rolland Walter Barbosa

Klabu kubwa Mbili ambazo ndizo msingi wa soka la Uingereza Liverpool na Manutd wameandika proposal mpya Ambayo itakuwa dira ya Soka la Uingereza kuanzia katika Uwanda wa Premier league mpaka madaraja ya Chini kabisa mwa League zilizopo nchini England huku tayari kukiwa na support ya team 6 kubwa ambao inaonekana watayabariki mabadiliko hayo yanayoitwa *PROJECT BIG PICTURE*

1.Mabadiriko ya Muundo wa League na Kushusha team Kutoka team 20 mpaka kuwa team 18 ambapo Maamuzi makubwa ya league yatakuwa chini ya Vilabu vikubwa sita(6) ambavyo ni Liverpool,Manchester United,Arsenal,Chelsea,Mancity na Tottenham Hotspurs.Huku kukiwa na mabadiriko katika kura zenye nguvu ya kimaamuzi ambapo Kwa sasa huwa zinahitajika Kura 14 katika kuamua kitu na badala yake ita shift kwenda kula 9 na Katika kura 9 hizo zitajumuisha team kubwa 6 na team 3 ambazo zimecheza muda mrefu katika Premier league ambapo kwa sasa team hizo 3 ni Southampton Newcastle na Everton.

2.Kila mwaka kutakuwa na kiasi cha £250m kitakachopelekwa kwa madaraja ya Chini kwa ajili ya kuwasaidia kutokana na athari za corona hizo zitakwenda moja kwa moja kabla ya msimu na 25% ya mapato yote ya Premier league watapatiwa mwishoni mwa msimu huku kiasi cha £100m kikienda kwa shirikisho la soka Nchini England Fa.

3.Kufutwa kwa Michuano ya Carabao Cup na Community shield japo Michuano ya Carabao inaweza Kuwa inachezwa na team ambazo hazitokuwa zinashiriki Michuano ya Ulaya.

4.Team 2 Ndizo zitapanda daraja kutoka Championship moja kwa moja na team ya 3,4,5 ktk msimamo basi zitapambana na team ya 16 katika league kumsaka mshindi wa Playoff kuchukua nafasi ya 3.

5.Team 9 katika Epl zikiwamo team 6 kubwa zitahusika moja kwa moja na maamuzi ya kiuendeshaji na mabadiriko ya league pia kucheza michezo zaidi katika michuano ya Uefa ambayo kuelekea 2024 kunaweza kuwa na mabadirko makubwa zaidi.

6.Wakati Epl Ikiwa na
team 18 league zingine za madaraja ya chini zitaendelea kuwa na team 24 kama ilivyo mwanzo.

7.Katika Mipango hii Pia hakutakuwa na gawio kubwa kwa wakubwa 6 bali ni pendekezo linaloonesha kuwa Hakutakuwa na tofaut kubwa ya kimapato kwa team za league kuu na Football leagues(Efl).

8.6% ya mapato yote watakayopata Premier league basi yatakwenda katika uboreshaji wa Viwanja vya madaraja ya chini yote kila mwaka.

9.Kutakuwa na taarifa za wazi kabisa ambazo za mapato na matumizi zitakazo simamiwa na Fa kutokea sheria za Uefa so kwa sasa unaweza pata Rungu kupitia Fa.

10.Kutakuwa na Bei kuu ya mashabiki watakao kwenda viwanja vya Ugenini ambapo inategemewa iwe £20 per ticket.

11.Msimu wa League kuanza mwezi wa nane (August) na katika kila miaka 5 basi kutakuwa na Michuano inayoitwa Summer premier league Tournement.

12.Pia mabadiriko ya Mfumo mzima wa Ukopeshaji wa Wachezaji ambapo wachezaji 15 wanaweza ajiliwa na klabu moja kwa Mkopo katika level yeyote ile ila unaturuhusiwa kuwa na wachezaji wa 4 pekee tokea klabu 1.eg Southampton apate wachezaj wa 4 toka Mancity wa mkopo.

Making sure hawasahauliki.

Proposal imekuja kipindi Man u yupo hoi na liva anaelekea huko.

Proposal imeletwa na timu ambazo moja imepigwa sita nyingine imepigwa saba.
 
Aaron Arsenal usiwe mwepesi kusema mtu ana chuki... Ni neno zito. Same goes kwa isajorsergio na Relief Mirzska ni neno la lawama.

Binafsi sikutaka kuaddress ishu yenu kwakua naamini humu wengi mnanipita umri na with age comes wisdom. Mostly nikishindwana na mtu hua namuitikia na kumuacha, nikitoa boko naomba samahani.

Niliwahi kutukanwa na member fulani Arsenal fan pia kwenye huu huu uzi. Nikaachana na uzi ili nimsubiri apoe. Katika kila ishu kunakua na sababu primary kisha inakuja sababu secondary chochote utakachofanya ni lazima kisimamie kufanikisha sababu primary.

Sisi kukutana kwenye huu uzi sababu primary ni kupata taarifa za Arsenal, kukutana na Arsenal fans wengine na kubadilishana nao maoni, mimi naamini kuna vitu vingine ukisoma hapa hata ukikaa kijiweni kwenye ubishi wa mpira unaweza ukatumia hoja za humu.

Sababi secondary ni kuwacheka timu pinzani.

Hapa kuna swala limetokea linamaliza siku ya nne nafikiri, hili swala litatuzuia katika kuikamilisha sababu primary? Ndiyo? Tuko tayari kulitatua ili kuendelea kuenjoy hii sababu primary? Now hii ni juu yenu wahusika wakuu sisi ni watazamaji na tutashauri itakapotakiwa.

Kuna siku kuna member alisema sijui kiingereza, nikamkubalia, kwasababu sikuona sababu ya kubishania ishu kama hiyo na ikazuia kuenjoy sababu primary plus inawezekana nikawa najua kiingereza kumzidi. Aaron Arsenal aliwahi kusuggest sina akili timamu nikamkubalia pia kwakua najua siyo kweli. Sasa Nimevukaje mitihani yote ya darasani?

Anyway, at times tutapokea blows and something like those. Muda mwingine blows hutapokea kutoka kwa plastic wa chelsea au pundamilia ila utapokea kutoka kwa Castr, Arsenal mwenzio.

So you just deal with it ili tuendelee kua na sababu ya kua humu. Naamini mtasolve kwa urahisi kabisa.

Tuliambiwa This Is Family.
Hapo kwenye swala la Primary na Secondary napinga 😀 😀 😀 😀 Kujadili Arsenal na kuwakera timu pinzani vyote ni Primary siyo kimoja primary alafu kingine secondary. Hizi timu ndogo kama Chelsea,Sp*rs na ManUtd zikifungwa ni sherehe humu 😀😀
 
Kupunguza timu unapunguza na mapato pia.
Timu 20 kwenye ligi zinatosha kabisa.

Halafu mm nilijua liverpool na man utd wana ka uhasama fulani hivi...au kuna common interest kwenye hio proposal yao?!
Common interest?
Yea wanakwepa vipigo.

Hizi timu mbili zote hazina squad depth halafu angalia proposal waliyoleta.
 
_20201015_103322.JPG
 
Making sure hawasahauliki.

Proposal imekuja kipindi Man u yupo hoi na liva anaelekea huko.

Proposal imeletwa na timu ambazo moja imepigwa sita nyingine imepigwa saba.
Hii proposal sijaona uzuri wake kwa sasa
 
Back
Top Bottom