Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,242
- 76,781
Mh sometime hua sipati notification app yangu inanilimit kuona notifications zikizidi idadi fulani inakua ndiyo ishapita.Kwan na wewe unaweza kuchambua mpira? [emoji23][emoji23]
Hizi update za Mascot kutimuliwa na zenyewe ni habari au za copy and paste anazoleta Aroon?
Umeanzisha mada kule nimekubana ukakimbia unakuja kutunanga huku.
Kukukimbia hapana. Labda niambie ulichosema