Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Habari zenu binafsi Arsene Wenger Jr,Quest na wapenzi wengine wa Arsenal????

Msijali bwana,its gonna be ok, dada kasema hivyo.......lol

dada 2day's results hazitabiriki....anything can happen....we r 1 man down...afterall hatuna ile free flowing f'ball.....Nasri kaumia...haijajulikana atakua nje kwa muda gani...Tuna game na Everton Jumanne then Jmosi N'castle then Barca......
 
Hatimae tuko mbele tena 2-1 penalti deffender wao ilibidi atoke red card c'mon gunners dakika 4 zimebaki
 
I can see you're DIVING your way into next round, congratulation.
 
Yani mpaka tuokolewe na penati.nomaaaaa.

kuna wachezaji kwenye bench wakuuza hili wawapishe wengine wenye uchu.
 
hatari free kick tunapigiwa on nthe edge of the box
 
dada 2day's results hazitabiriki....anything can happen....we r 1 man down...afterall hatuna ile free flowing f'ball.....Nasri kaumia...haijajulikana atakua nje kwa muda gani...Tuna game na Everton Jumanne then Jmosi N'castle then Barca......

...natamani wange delay kumpeleka Ramsey Cardiff on loan!
 
Fanregaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaassssssssssss.....2-1......
 
Pheew afadhali mpira umeisha 2-1 kidogo afadhali ila wachezaji wotu wamechoka sana hivi sasa tuna mechi nyingi we can't afford replay and we can't afford more injuries.
Tutazidi kujulishana situation ya Nasri.
 
Hatimae tuko mbele tena 2-1 penalti deffender wao ilibidi atoke red card c'mon gunners dakika 4 zimebaki

Yaani unasema with confidence kwamba ile ni penalty na RED CARD?! Au kwa sababu Fabregas alikuwa anamforce refa atoe red card? To be honest, it's more of the diving by Bendtner than a foul, jaribu kuwa mKWELI for once.
 
Pheeeewwww,....Relief!...
dah, league 1 team imetutoa kamasi leo,
chupu chupu. Thx again kwa Cpt Fab Fabregas!
Ingekuwa Chelsea leo tungekuwa tushawawekea matanga hapa
ha ha ha!

Pamoja wakuu :clap2:
 
dada 2day's results hazitabiriki....anything can happen....we r 1 man down...afterall hatuna ile free flowing f'ball.....Nasri kaumia...haijajulikana atakua nje kwa muda gani...Tuna game na Everton Jumanne then Jmosi N'castle then Barca......

Nimeumia na hilo la Nasri,na kadi nyekundu but still we can make it....kitu kinachonisumbua Arsenal ni kuwa hata timu ndogo zinatupa shida sana.....yaani kila timu sisi tuna hofu tu,wenzetu kuna mechi wanajuaga kabisa hawafungwi ila sisi ni tofauti,anyway,yote yatakuwa sawa,huu ni mwaka wa breakthrough sijakata tamaa.......na msikate tamaa......:coffee:
 
Back
Top Bottom