Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Baba wa kiungo mpya wa Arsenal, Thomas Partey;
"Kiukweli nilikuja kugundua kwamba Thomas mwenyewe anataka kwenda timu inayoshiriki Klabu bingwa Ulaya lakini nilimwambia sio mbaya akienda Arsenal ili yeye aisaidie timu hiyo kufuzu kucheza michuano hiyo."
"Kulikuwa na ofa kutoka timu kadhaa ambazo zilimtaka, ikiwemo Chelsea na Juventus. Nafikiri sasa anaweza kuisaidia Arsenal ifuzu kucheza Klabu bingwa Ulaya."