Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Ndio maana arsenal alifungwa na LiverpoolMwingine
Short freekick apige Pepe au Auba/ Willian kutegemea na upande. Long freekick za kuanzia kwenye dimba apige Xhaka au kiungo yoyote.Kwa maoni yenu, nani awe mpiga freekick wetu?
Mimi naona kwa mguu wa kulia tuna Auba, Laca, Willian na Luiz. Namchagua Willian.
Kwa mashoto tuna Xhaka na Pepe. Namchagua Pepe.
Kwenye penati yuko poa sana. Msimu huu nataka kuona Pepe akiingia kwenye box na kuwageuza geuza mabeki kama kawaida yake wamtege tupate penati na sisi tuwe na 'Bruno' wetu Maitland Niles.Short freekick apige Pepe au Auba/ Willian kutegemea na upande. Long freekick za kuanzia kwenye dimba apige Xhaka au kiungo yoyote.
Mpiga penati awe Maitland Niles.
Hivi Luiz kawahi kufunga freekick pale Asenali?Kwa maoni yenu, nani awe mpiga freekick wetu?
Mimi naona kwa mguu wa kulia tuna Auba, Laca, Willian na Luiz. Namchagua Willian.
Kwa mashoto tuna Xhaka na Pepe. Namchagua Pepe.
sidhani. Sijamuona akipiga nyingi.Hivi Luiz kawahi kufunga freekick pale Asenali?
Huwezi mfananisha na drogba, drogba levo zake kina Emile Heskey au giroud
Kuna member alisema subiri plastic wa chelsea aje kukupa takwimu zake. Kwahiyo ulitaka Henry na yeye aifunge Arsenal mara nyingi?
Hapo kwa Chelsea unajidanganyaNatabiri game na Leeds itakua ngumu. Formations zingine mara ya mwisho kuziona ni kwenye PlayStation 2 ila ndiyo Leeds wanatumia.
Hii 4 1 4 1. Unashuhudia unamwagwa utumbo hivi hivi, game nyingine ngumu itakua na Aston Villa mostly kwakua yule kipa tuliyewauzia siyo wa kawaida. Pia wana Striker mzuri na wanajua kupiga counter na 3 4 3 mabeki hua wanakatika so ikipigwa kaunta anabaki Ollie na Leno.
Game na Chelsea kushinda kwetu kutategemea juhudi za wachezaji zaidi kuliko uwezo wa kocha as lampard siyo tactician mzuri. Wachezaji wakisusa kujiongeza hii itakua miongoni mwa games rahisi.
Kwa Man U sitarajii game iwe ngumu as ina timu ambayo haiwezi kufanya build up ya kwenda kutafuta goli na Ole kaonesha hana uwezo wa kutatua hilo. Kilichobaki ni VAR iangaliwe itakavyotoa assisst kwa Man u.
Kwa Man City naiona game ngumu mostly kwakua Arsenal ya sasa haina tabia ya kushambulia muda wote so itakua na piga nikupige. Ambapo strength ya mid yetu itatathmini ushindi.
Boss mimi sijasema Henry kazifunga timu kubwa.Wew ulizungumzia kuwa Henry kazifunga timu kubwa so ukimaanisha unamfanya kuwa bora zaid kwa maana hiyo hata drogba nae kawafunga gunners
Sasa apo ndo nashangaa unaingizia et plastic fan,so kila ktu atachoandika shabiki wa arsenal ukikubali ndo uonekane ndo shabiki wa kwel?
Hahaha kwani si umvute ulipoHawa wako dar tuu![]()
Mkuu nilichoongea ni kwa kuangalia games tatu zilizopita toa maoni yako nione.Hapo kwa Chelsea unajidanganya
Karibu sana.The Gunners 💪