Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

La liga mfumo wao ni kwamba mchezaji ndio ananua hiyo buy out clause yake. Mfano arsenal hawatakiwi kulipa wao bali wanampa pesa partey na yeye ndio anapeleka la liga, sasa dhumuni hiyo hela lazima ikatiwe kodi ambayo huwa inakuwa kati ya asilimia 20-47

Hivo dili la Partey limeigharimu Arsenal kama £56m hivi...

Sheria ya laliga, mchezaji anapolipa "release clause" inahesabika kama anavunja mkataba sio kama ananunuliwa, na kwa kuwa timu inakuwa engaged na national federation ndo maana hela inalipwa kule, yaan ana disengage na ligi. Kama ilivyo kwa dili la Neymar. No negotiations

Ndio maana Jion Simeon alianza Kutoa Kauli za Huzuni


Hadi Sasa Partey au Arsenal hawajawasiliana chochote na Atletico Madrid


Atletico ataupata Mzigo wake Kutoka Laliga


Na muda huu Laliga Wamethibitisha Wamepokea Mzigo kutoka Arsenal
Lile sakata la messi release clause ilikua milion 700?
 
Dah Ozil kamuaga mtukutu mwenzie Guendouz

Inatia huruma sana,
IMG-20201005-WA0043.jpg
 
Lyon

Adelaide deal failed
Aouar deal failed
Depay deal failed

Wamesajili tu hawajauza watatupigia simu hawa kwenye saa tano kamili

Aulas atajua kuwa hajui
 
Hadi Sasa Arsenal hawajaongea chochote na Atletico wala Partey hajaongea chochote na Atletico

La Liga have informed Atletico that Arsenal have met Thomas Partey's release clause. Neither the player or Arsenal have communicated this with Atletico. (@charles_watts)
Means kaondoka bila baraka za wazazi?
 
Elneny mchezaj tukikutana na timu ndogo, agalia game na Liverpool

Xhaka, cebalos, elneny hao wote hakuna mzur namba sita (kiungo mkabaji)
Ndio maana inawalazimu; Auba, pepe wilian laca, kushuka chin kukaba

Creativity tumekosa, ndio maana goals zetu tunasubir kumvuta adui then tushambulie (arsenal waangalie namna ya kumaliza tofaut zao na ozil, yule jamaa mpira bado upo mguuni)

Arteta anasema willian anacheza kama namba kumi, lakin huyo wilian n bado sana kwa ozil, Ozil anayajua mashimo yote uwanjani, nyie mkabien tu mpeni mali awaoneshe

Tuna muhitaji sana Toma's Partey pale kati
Unasema Elneny anashine game na timu ndogo!!?/
 
Sokratis is staying at Arsenal, contrary to reports linking him with a move away on #DeadlineDay. #AFC
 
Usajili Updates:
1601927493947.png

Thomas Partey.

Arsenal wametengua kipengele cha kumruhusu Thomas Partey azungumze nao.

Kipengele hicho ni cha Euro milioni 50 sawa na pauni za Uingereza milioni 45

Wawakilishi wa Arsenal wapo nchini Hispania na wamewaeleza La liga kusudio lao la kumsajili Partey na kuweka hizo Euro milioni 50.

Hivi sasa Thomas Partey yupo kambini na timu ya taifa ya Ghana.

Baada ya taarifa ya Arsenal kuweka ada ya usajili La Liga Partey alirudi Hispania na kuanza taratibu za kufanyiwa vipimo na baadae kuelekea London kukamilisha taratibu za usajili.

Kitendo hicho kilichofanywa na Arsenal pia kinawapa nafasi Atletico Madrid kutafuta mchezaji mwingine wa kuziba nafasi ya Partey ndani ya siku 30 ingawa tayari wanae Lucas Torreira ambae tayari yupo nchini Hispania.

Finally We've got him.

Thomas Partey anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka 4 na atalipwa pauni 260,000 kwa wiki na ada ya usajili wake itakuwa ni pauni milioni 2.5 huku wakala wake akila asilimia 10 ya usajili huo wa aina yake.

Kwa ujumla Arsenal watalipa kiasi cha pauni milioni 110 zikiwa milioni 52.5 za kumsajili Partey.

Arsenal leo jioni iliwasilisha hundi ya Euro milioni 52.5 ofisi za La Liga ambako ndiko mikataba ya wachezaji wote wa Hispania inahifadhiwa.
 
Lyon’s £ situation:

They need €100m to balance books due to incurred & expected losses

They depended on sales of Dembele, Aouar, JRA, Lucas &/or Depay

Confident Depay, JRA & Lucas would sell today Lyon refused Arsenal’s offer but no one sold

*Maybe* we go in one last time..
 
Back
Top Bottom