Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,024
- 27,365
Mwanangu usajili wa Chelsea unajuumiza sana kichwa kuliko kutafuta hela kulisha familia.Hatimaye.
Saka ana goli la ligi, Werner hana Havertz hana
Time will tell. Mtakaa kimya na kukimbia jukwaa kwa lazima