Ahaa 😂😂😂😂😎![]()
![]()
![]()
Ni benjamin mendy mdogo wangu acha kukurupuka
Pale kwa Martinez tumepigwa waziwaziAston Villa watuletee 10m nyingine kama shukrani tu kwa Martinez, nje ya mkataba.
@biel_m04
Jamaa kafanya clearance nyingi ila Bellerin alistahili
ni Cm au Am?Kuna tetes nazisikia za Mykola Kuja Arsenal bado Nazifatilia
Willock huenda akapelekwa mkopo wesbrom
Tunabaki na xhaka ceballos na Elneny
Hawa ndio Angalau wana Quality chin ya Arteta
So lazima tuongeze Kiungo ,ni lazima hata Mkude lazima
Mbadala wa kolasinacni Cm au Am?
Kwa sasa Elneny ametuhakikishia kuwa mchezaji bora, hafanyi silly mistakes kama Xhaka na anajua kutulia na mpira. Ila bado midfielders tulionao hawatoshi, notable Elneny, Xhaka na Ceballos, ikitokea majanga tumekwisha.Ambao mlikua na shaka na Elneny. Mnaona mambo yanavyoenda? Mchezaji mzuri anaonekana tu.
ni average player badoKwa sasa Elneny ametuhakikishia kuwa mchezaji bora, hafanyi silly mistakes kama Xhaka na anajua kutulia na mpira. Ila bado midfielders tulionao hawatoshi, notable Elneny, Xhaka na Ceballos, ikitokea majanga tumekwisha.
Mmmmmh!!! Ozil huyu huyu tunaemjuaElneny mchezaj tukikutana na timu ndogo, agalia game na Liverpool
Xhaka, cebalos, elneny hao wote hakuna mzur namba sita (kiungo mkabaji)
Ndio maana inawalazimu; Auba, pepe wilian laca, kushuka chin kukaba
Creativity tumekosa, ndio maana goals zetu tunasubir kumvuta adui then tushambulie (arsenal waangalie namna ya kumaliza tofaut zao na ozil, yule jamaa mpira bado upo mguuni)
Arteta anasema willian anacheza kama namba kumi, lakin huyo wilian n bado sana kwa ozil, Ozil anayajua mashimo yote uwanjani, nyie mkabien tu mpeni mali awaoneshe
Tuna muhitaji sana Toma's Partey pale kati