La liga mfumo wao ni kwamba mchezaji ndio ananua hiyo buy out clause yake. Mfano arsenal hawatakiwi kulipa wao bali wanampa pesa partey na yeye ndio anapeleka la liga, sasa dhumuni hiyo hela lazima ikatiwe kodi ambayo huwa inakuwa kati ya asilimia 20-47
Hivo dili la Partey limeigharimu Arsenal kama £56m hivi...
Sheria ya laliga, mchezaji anapolipa "release clause" inahesabika kama anavunja mkataba sio kama ananunuliwa, na kwa kuwa timu inakuwa engaged na national federation ndo maana hela inalipwa kule, yaan ana disengage na ligi. Kama ilivyo kwa dili la Neymar. No negotiations
Ndio maana Jion Simeon alianza Kutoa Kauli za Huzuni
Hadi Sasa Partey au Arsenal hawajawasiliana chochote na Atletico Madrid
Atletico ataupata Mzigo wake Kutoka Laliga
Na muda huu Laliga Wamethibitisha Wamepokea Mzigo kutoka Arsenal