Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Elneny mchezaj tukikutana na timu ndogo, agalia game na Liverpool

Xhaka, cebalos, elneny hao wote hakuna mzur namba sita (kiungo mkabaji)
Ndio maana inawalazimu; Auba, pepe wilian laca, kushuka chin kukaba

Creativity tumekosa, ndio maana goals zetu tunasubir kumvuta adui then tushambulie (arsenal waangalie namna ya kumaliza tofaut zao na ozil, yule jamaa mpira bado upo mguuni)

Arteta anasema willian anacheza kama namba kumi, lakin huyo wilian n bado sana kwa ozil, Ozil anayajua mashimo yote uwanjani, nyie mkabien tu mpeni mali awaoneshe

Tuna muhitaji sana Toma's Partey pale kati
Mimi mpira Vs liver nimeangalia kwa jicho tofauti na lako mkuu, huenda tukatofautiana lakini nilimuona Ceballos kuwa very creative, chances chache alitengeneza sema ni Lacca kukosa sharpness ya kumalizia.

Hata hivyo Ozil lakini huwa ana flop kwenye mechi kubwa, hili toka akiwa Madrid tuliliona, timu ukiwa on top Ozil anaonekana ila tukizidiwa anakuwa shati tu.
 
Arsenal are readying themselves to pay Thomas Partey’s release clause. No negotiations needed - the player is ready to accept

Guardian Sport
 
Aaron acha kututia matumbo joto na hizi dondoo zako
Anakuja ,Arsenal wamepiga simu laliga Wanaenda kulipa £45m

Vyombo vingi sana vimeripoti

Arsenal are readying themselves to pay Thomas Partey’s release clause. No negotiations needed - the player is ready to accept

Guardian Sport
 
Karibu Thomas Partey

BREAKING: Thomas Partey has told Atleti about his desire to join Arsenal officially. Atletico consider him gone. [info: @alexsilvestreSZ]
 
David Ornstein confirms: "Arsenal make late move to sign Thomas Partey from Atletico Madrid. Club Contacted 27yo camp expressing intention to pay clause. #AFC making all necessary arrangements (medical in Spain etc) + optimistic. "
 
Naona dili la partey lipo 99.9% kukamilika,

Aulas atakuja kumuuza auoar kwa bei mbovu Kama Monaco walivyofanya kwa Thomas lema.
 
Anakuja ,Arsenal wamepiga simu laliga Wanaenda kulipa £45m

Vyombo vingi sana vimeripoti

Arsenal are readying themselves to pay Thomas Partey’s release clause. No negotiations needed - the player is ready to accept

Guardian Sport
David Ornstein confirms: "Arsenal make late move to sign Thomas Partey from Atletico Madrid. Club Contacted 27yo camp expressing intention to pay clause. #AFC making all necessary arrangements (medical in Spain etc) + optimistic. "
Ni habari yenye matumaini ila tusubiri deal likamilike.

Kwa hii timu yetu unaweza kuta wanatuliza munkari ya fans then tuje kusikia "the deal has failed due to failure to submit paper work on time but Arsenal officials did their best to make it happen".
 
Kweli lakini ka mkubwa @gspain,maana hii timu yetu nayo tunaijua wenyewe.
 
Sources in Spain say Atletico have lost hope of keeping Thomas Partey. He has told them he wants to join Arsenal
 
Ni habari yenye matumaini ila tusubiri deal likamilike.

Kwa hii timu yetu unaweza kuta wanatuliza munkari ya fans then tuje kusikia "the deal has failed due to failure to submit paper work on time but Arsenal officials did their best to make it happen".
Tayari ,hadi vipimo wamesha arrange

Dili gani walifika stage hii waka feli ?

David Ornstein

Arsenal make late move to sign Thomas Partey from Atletico Madrid. Contacted 27yo camp expressing intention to pay clause. #AFC making all necessary arrangements (medical in Spain etc) + optimistic. Credit @charles_watts
More @TheAthleticUK #AFC https://https://t.co/cXRG5rRfn5
 
Nadhani wote tunatamani itokee ila ndio record ya club yetu kwenye sajili si ya kufurahisha.

Specifically hakuna deal lililo wahi kufikia hatua hiyo lakini kwa deadline day hayo maelezo ni common kwa vilabu vyote vinavyo jaribu kupush deals lately, kwa hiyo kauli hizo zinapakwa rangi na wakati wenyewe kuliko uhalisia.

Partey na Aouar kwa mfano wamekuwa gumzo tangu January, sasa leo Aouar hatunaye na Partey kwenye deadline day ndio unaona mishe zinaanza utadhani tulikuwa tumefungiwa kusajili kipindi chote.
 
"They want to get everything sorted before 11pm so Thomas Partey can become an Arsenal player."

@skysports_sheth says there is an 'expectation' that Arsenal will meet the midfielder's release clause to trigger a deal.

#DeadlineDay https://t.co/YmJ1NNUh0I
 
Nadhani wote tunatamani itokee ila ndio record ya club yetu kwenye sajili si ya kufurahisha.

Specifically hakuna deal lililo wahi kufikia hatua hiyo lakini kwa deadline day hayo maelezo ni common kwa vilabu vyote vinavyo jaribu kupush deals lately, kwa hiyo kauli hizo zinapakwa rangi na wakati wenyewe kuliko uhalisia.

Partey na Aouar kwa mfano wamekuwa gumzo tangu January, sasa leo Aouar hatunaye na Partey kwenye deadline day ndio unaona mishe zinaanza utadhani tulikuwa tumefungiwa kusajili kipindi chote.
Kama uliwafatilia vzr Arsenal ,walitaka deal la Aouar kwanza kisha wamalize na Partey

Ni dhahiri Aouar sio wa €60m

Na kauli aliyotoa Jana kuhusu kubaki , Arsenal waliachana nae

Haja disappoint mashabiki tu. Had uongozi,

Nasipend turud tena kwake ,

Deal la Partey lilikuwa jepes na ni muda wowote tu, maana Ni kulipa RC , Arsenal walicheza trick wawe wana negotiate huenda bei ingeshuka. ATM wakakomaa Had RC ,
 
James Benge (@jamesbenge) Tweeted:

Partey medical set to take place soon in Madrid. As reported back in July, the idea of playing in the Premier League for a club like Arsenal under a manager like Arteta proved very enticing. (https://twitter.com/jamesbenge
 
The AFCBell kashinda hii vita , alisema Partey atakuja siku ya mwisho ya dirisha

Kina Fabrizio, ornstein wakawa wanapinga

Now Ornstein kaomba msamaha
IMG-20201005-WA0021.jpg
 
Back
Top Bottom