Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

#Sokratis of #Arsenal is now a concrete option in these final hours, a member of the entourage of the Greek defender confirms it @ASRomaPress
 
Hivi nan Anaenegotiate mishahara Pale Arsenal

Auba £375k

Ozil £350k

Laca £200k

Partey £250k

Willian £220k
 
Martinez ni bonge la kipa mkuu ..huyu Leno siyo wa kumuamini sana. Pale tukubali tumepigwa waziwazi. Siyo kipa wa pound Mil 10.
Tumemuuza kwa 17m. Leno tulimnunua kwa 20m. Tuwe na makipa wa 37m? Hatuhitaji makipa wawili 1st choice kwa kweli maana kwetu ingekuwa ngumu kuwafurahisha wote. Hata hivyo Martinez anastahili kucheza #1 kwa kiwango alichokifikia so kiubinadamu tumefanya vyema kumuachia aende akacheze. Maisha ya ugolikipa ni magumu, ukitoboa ni vizuri ucheze pael utapoweza.
 
Hivi nan Anaenegotiate mishahara Pale Arsenal

Auba £375k

Ozil £350k

Laca £200k

Partey £250k

Willian £220k
Hatuna hela za usajili lakini hela za mishahara minono tunazo. Mpangaji mwenzako anakulilia hana hela ya kodi anakuomba umpe support lakini mwezi ukisonga, ana kabati zima la nguo mpya na marashi, hapiki ananunua chips kuku kila siku na kila weekend ana hela ya kuhonga na kula bata la maana na gari lake haliishiwi mafuta.
 
Atletico hawana habari kuhusu Arsenal kilipa €50m ya Partey

Uzuri wa RC unalipia kwa Laliga ...unamalizana na mchezaji ,

Waliofatilia Sakata la Neymar na PSG wanakumbuka huu mchezo , PSG waliwapa Camp ya Neymar , €200m ,Wakaenda kuilipa Laliga ...Barca akabaki analalamika

Atletico dont know anything about Arsenal paying Thomas buy out clause (€50m). They of course do not need to know as that is done directly with Laliga but after talking regularly about Lucas Torreira, they expect a courtesy call that has not arrived... yet
 
Naona sahiv ni muda wa mapumziko. Kipindi cha pili kitaanza saa tatu hiv. News zitaanza kutoka upyaaaa. Halafu saa tano hiv kuelekea dirisha kufungwa saa sita mjiandae kuona done deals huku na kule.

Nitakuwa macho hadi kuhakikisha kila kitu sawaa
 
Thomas Partey to become highest earning Ghanaian footballer in history with a ‘jaw dropping’ £250k a-week-wages. [@Ghanasoccernet] #afc
 
Atletico hawana habari kuhusu Arsenal kilipa €50m ya Partey

Uzuri wa RC unalipia kwa Laliga ...unamalizana na mchezaji ,

Waliofatilia Sakata la Neymar na PSG wanakumbuka huu mchezo , PSG waliwapa Camp ya Neymar , €200m ,Wakaenda kuilipa Laliga ...Barca akabaki analalamika

Atletico dont know anything about Arsenal paying Thomas buy out clause (€50m). They of course do not need to know as that is done directly with Laliga but after talking regularly about Lucas Torreira, they expect a courtesy call that has not arrived... yet
Ikiwa hivi si timu yoyote inaweza kwenda kumchukua mchezaji yoyote mwenye release clause apende asipende?
 
Hivi nan Anaenegotiate mishahara Pale Arsenal

Auba £375k

Ozil £350k

Laca £200k

Partey £250k

Willian £220k

kukosa UCL huko only bait utakuwa nayo ni wages, maana hata ile bonus za kubeba ubingwa hakuna, Bonus za UCL ni hati hati, mchezaji anawabana kwenye wages so huna Chance
 
Paul Merson on Thomas Partey: “I think he’s a top-drawer player. I nearly fell off my chair, £45m! I don’t think that’s a lot of money for the quality of player you’re getting here. The one thing he brings as well - discipline. He plays in a disciplined team.” [Sky Sports]
 
Hatuna hela za usajili lakini hela za mishahara minono tunazo. Mpangaji mwenzako anakulilia hana hela ya kodi anakuomba umpe support lakini mwezi ukisonga, ana kabati zima la nguo mpya na marashi, hapiki ananunua chips kuku kila siku na kila weekend ana hela ya kuhonga na kula bata la maana na gari lake haliishiwi mafuta.
Wage bill ni kubwa sana kwa Club yetu,inawezekana wanafuata mipunga hiyo
 
Wage bill ni kubwa sana kwa Club yetu,inawezekana wanafuata mipunga hiyo
Kama Willian hela yote ya nini 220k£?? Jua lishazama pale huo mshahara angeenda chkua huko marekani au china ..hapo mumepigwa.
 
Matteo Guendouz Kapewa no.8
IMG-20201005-WA0029.jpg
IMG-20201005-WA0030.jpg
IMG_20201005_194809.jpg
 
Thomas Partey is now flying to London!

Atlético Madrid board have received the notification 1 hour ago from Arsenal for Thomas.
#AFC are set to trigger the release clause for €50m tonight, race against time then... here-we-go

Atléti will complete Torreira deal on loan.
 
Fabrizio kakubali mziki wa AFCbell

Fabrizio Romano (@FabrizioRomano) Tweeted:
Fair to say, congrats to @charles_watts and @TheAFCBeII for breaking the news today! Thomas is now arriving in London. ()
 
Back
Top Bottom