yan kunaulazima wa kuchukuwa kombe la cani cup na la lig the gunner 2natisha baba yake
jamani inamana niko peke yangu humundani shabiki wa arsenal?
Siasa kila wakati inaboa jama
cani cup ndio nini tena??!! You must be a plastic fan....duuh! kumbe wewe ni mdada, naogopa nisijeonekana kama Andy Gray hapa jamvini, lakini jitahidi kuandika vitu vinavyoeleweka.
Hahahaha....Nilisahau kusema hongera zenu, naona mwaka huu hamtaki mchezo ni "vikombe" kwa kwenda mbele. I wish youtough luck for the final....lol
ni kwel nimekosea kuandika ila jiangalie na maneno yako ya kumuita m2 na pia km jina limekushnda ungeuliza so bro take care ningekuzngua ila kwa sababu wote ni arsenal fans 2songe mbele
Thank you Mkuu....haitakuwa vibaya ukivaa jezi yetu angalau kwa siku hiyo moja na kutushangilia kwa dkk zote 90 au zaidi hahahahahahah kuna mtu kaninong'oneza hapa jamvini kwamba unazihusudu sana jezi zetu LOL!
Hahahahaha, I hate red colour and anything that associated with it....If God had allowed us to choose our own blood colour, najua wafahamu ni rangi ningechagua!....lol
Lol Arsenal wana hati miliki ya hii rangi? vipi akina Liverpool, Manchester United, Ajax na timu nyinginezo nyingi zinazovaa jezi nyekundu?Ungechagua BLUE Kishabiki...But deep inside your heart RED will remain your fev........And that is ARSENAL COLOR, MY COLOR and UR COLOR.....
Ungechagua BLUE Kishabiki...But deep inside your heart RED will remain your fev........And that is ARSENAL COLOR, MY COLOR and UR COLOR.....
Birmingham City v Arsenal
Carling Cup
Sunday, February 27, 2011, 16:00
Mbona unawaumiza wenzio ... ..... ....
Wakuu nawategemea kwa updates siko home naweza kuwahi labda dakika 30 za mwisho.
Mwenye list arushe hapo nipate picha halisi lol.
Kila la kheri gunners wenzangu wote.
Hili ni pigo kubwa aisee, hope hatomiss mechi nyingi, tuna mechi muhimu sana zinafuataArsenal 1 - 0 Huddersfield
(Bendtner 20th minute)
Arshavin ana-bore kama kawaida.
Samir Nasri kaumia, (Hamstring. Uhhh!)
Rosiscky kaingia badala.
So far anapoteza posession sana hapa kati na kama unavojua ni mzito kurudi kuja kudifendi, ila ali-win sliding tackle moja safi sanaDuuh Nasri hio noma I hope atapona haraka.
Naona ako ka diaby kamepangwa ,vipi anakipiga au ndio kama kawaida yake kusinzia tu?
Thanks mkuu mbu kwa updates.