Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ukiwa unaangalia mechi utaona kwamba potential ya kikosi cha ushindi ipo ila uchaguzi wa kocha ni ajabu kidogo.

Wewe unataka tuenjoy mechi ila hii ni dakika ya 65 na hatuna shot on target
Ni sehemu ya mchezo not to have a shot on target mpka muda huo, thanks finally ilipatikana na tumeshinda.

Haya hebu sema ww wakina nani ulitaka aanze ili tupate perfomance nzuri na matokeo mapema?
 
Ni sehemu ya mchezo not to have a shot on target mpka muda huo, thanks finally ilipatikana na tumeshinda.

Haya hebu sema ww wakina nani ulitaka aanze ili tupate perfomance nzuri na matokeo mapema?
Timu inayotarajiwa kutetea ubingwa hiyo haitakiwi kua sehemu ya mchezo regularly.

Ndiyo sababu nikaongelea juu ya kuangalia mechi.

Skelly
Timber
Gyokeres

Inabidi waanze.
 
Team selection ya kocha inafanya balance inakosekana kwenye kikosi
Naamini kocha anawajua vizuri wachezaji wake na anafanya proper selection baada ya kushauriana na benchi lake, ili kupata matokeo chanya.

Sidhani km kuna kocha ambae anataka timu yake istruggle kupata matokeo, it happens sometimes inategemea na mpinzani alivojipanga, status ya wachezaji (i.e. fatigue), home advantage, n.k.

Pia approach ya game inabadilika kulingana na mpinzani.. mfano mzuri utakuja kuona huko mbeleni huyu huyu Nott Forest akicheza na City au Chelsea anaweza kufungwa comfortably, sababu ya different style of play/different game approach. Nott Forest wanaweza cheza physical/mid block game itakusumbua lakini wakawa easily passed na Chelsea kwa mfano kutokana na technical players walokua nao.

Ko tumsifie na mpinzani poa, lakini nachoelewa Arteta kamu analyze vizuri mpinzani kisha akaamua kuja na timu iliyoanza.
 
Timu inayotarajiwa kutetea ubingwa hiyo haitakiwi kua sehemu ya mchezo regularly.

Ndiyo sababu nikaongelea juu ya kuangalia mechi.

Skelly
Timber
Gyokeres

Inabidi waanze.
Yet hakuna guarantee km wangefanya unavyotarajia coz mechi inachezwa na timu mbili.
 
Since era ya Robert Pires 2001/02
Even better.

Tumeshaenda UCL tukiwa na Djourou, Frimpong na wenzao.

Ukilinganisha hiyo misimu, kikosi cha watu 24 tulichonacho, mpira tunaocheza ni best tunaoweza kucheza?

First match ya msimu tumemfunga City 3. Tungecheza nao tulivyocheza kuanzia mechi ya nne ya msimu hizo 3 tungescore?
 
Nitakua narudia yale yale.. game approach unapocheza na City sio sawa na utakavocheza dhidi ya Sunderland, Nott Forest, Brentford, Everton, and the likes..

Mechi vs City ilikua technical zaidi, tena kwenye neutral ground ndomana tuliona fluidity unayoizungumzia.. huwezi kufananisha na mechi ya ligi away vs Sunderland (at stadium of light) au nott forest (london stadium), utapewa different game.. hizo mechi zinahitaji physical game yako iwe at the best, pia itakubidi udili na low blocks. Unataka timu iflow na mpinzani wako hafunguki??

Hao Nottingham tulowafunga juzi 1-0, msimu jana tulitoka 0-0 kwenye uwanja huo huo.. sasa chagua wewe uchukue point 3 au uwe entertained!
 
Msimu wa 22/23, first leg, Forest tulimfunga 5 kwa bila. With fluidity.

Second leg ikawa 0 - 0. Kwasababu ilikua hatuwezi kuhandle low block.

Low blocks zimeanza kutusumbua tangu kipindi hicho, ujio wa Eze na Zubimendi ilikua ni kwenye mechi za hivi. Hii ni kwakua tulitumia karibu msimu mzima tukisema wapinzani wanafanya kusudi ku-low block dhidi yetu.

Ila wengine tukasema shida ni fluidity. Mechi ya juzi dhidi ya Forest tulikua tunapata chance ya kubreak free na kuestablish counter but we didn't, mtangazaji akalisema hilo.

Mechi dhidi ya Lille, baada ya subs ndiyo timu ikaonekana inatembea na magoli yakaja. Mtangazaji akalisema hilo.

Mechi zote CM anayepokea mipira akiwa nyuma na mabeki hua anakua Rice, dhidi ya Forest, Odegaard ambaye ndiye AM ndiye akawa anarudi kupokea mipira. Huyu alitakiwa awe mbele ya dimba, what follows ilikua ni back pass.
Asiyehofia kwenda mbele kutokea CM kawekwa bench, ST wa kufanya opponents wasimsahau kawekwa bench,

Goli la Madueke lilikua deflected, huwezi survive kwa magoli ya deflection ya last minutes. Tuliisema kwa Liverpool na sasa tusione nongwa kusema kwa timu yetu.

Nafikiri unahalalisha kitu ambacho hakipo, if you have the best team present the best team, that's it. Na mimi siongelei entertainment hapa, naongelea incompetence, Forest walipata nafasi zaidi ya 2 za wao na kipa they missed, next time they won't .
 
Huu msimu arsenal jipangeni kihisia. Timu iko hovyohovyo
17381.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom