Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hujańielewa naomba rudia tena nilichosema, sijasema kwamba ni mchezaji mbaya, maana yangu ni bei yăke ni kubwa, kumbuka hiyo ni biashara mzee lazma iwe ni winwiň situation,
Negotiation ni lazima ili kila upande uridhike, ukienda kununua bidhaa lazma uthaminișhe ubora wa bidhaa na kiasi unacholipa kama vinaendana,

Kwani Sancho mbovu? Mbona united wanambwela kutoa fedha?

Vardy mbovu? Ukiambiwa utoe 159m utatoa?
Mimi nimeaddress ishu yako pia.

Kepa alinunuliwa kwa 72M ila ni kipa anayeongoza kwa kufungwa magoli ambayo hajishughulishi kuruka. De Gea?

Hazard wa Madrid? Kanunuliwa shiling ngapi? Ana assisst tayari?

Chelsea na Werner? Leo beki wa Arsenal Gabriel ana goli la ligi Werner hana.

Madrid ananunua kwa pesa kubwa compensation yake ni balanced salary. Arsenal inashindwa kutumia approach hii?

Imeshindwa kuhakikisha release clause inakua ya bei juu?

Timu hua haifukuzii mtu mmoja. Tumefeli kwa Aouar na bado saa kadhaa dirisha lifungwe, mbadala uko wapi? Ambao ungeletwa fasta once dili la Aouar lingefeli?
 
Hahahahaha

Ujue bro nnachokukubali kwako nyeupe ni nyeupe sio nyeusi

Sent from my Infinix X606B using JamiiForums mobile app
Mkuu unajua tumekuwa washabiki wa arsenal for almost 20 years now.

Kipindi hicho mwanzoni mwanzoni hata kama timu inafanya vibaya hutuambii kitu. Bodi ikizengua hutuambii kitu kaka ila sasa uelewa wetu upo mwenye next level sio wa mihemko tena. Sio shabiki wa timu ifungwe eti niwe sina raha wiki nzima nooo
 
Halafu Saka kule anakocheza hana madhara kabisa nibora aje atokee kulia na Willian atokee kushoto
 
Hakuna

Sașa hapo ni kukubali kupigwa au kutafuta mbadala mwingine chap,
Kwa akili tu ya kawaida unafkiri target ya Arsenal ilikuwa kwa hao wawili tu? Lazma kuna list ya wachezjji na hao nďio walikuwa vipaombele.

Sasa kutoa 60m kwa farmer league player si bora nirudi kwa kina Toddy Cańtwel, Bueńdia, Brooks, Joginho, n.k ambao washaonja joto la EPL,

Funzo nililolipata kwa kina Chamakh, Giroud, Lacazette, Bakayoko, Batshuay, Mendy n.k linatosha,hapo sijamuweka Nicolas nimpe muda kidogo
Usajili ni kamari lakini kamari ya wachezaji wa league1 ni ya kiwango haswaa@
Mendy!!! Angalia huyu takataka..mtoe Mendy hapo weka Pepe pale tumepigwa 🤥🤥
 
Back
Top Bottom