Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Ulikuwa unaniwangia kaka mkubwa hahahNaona mmeshamaliza hii mechi, hongereni in advance.
Ulikuwa unaniwangia kaka mkubwa hahahNaona mmeshamaliza hii mechi, hongereni in advance.
Mimi naona bado na tunacheza kama tumeshashinda wakati tunatakiwa tufunge mawili mengineNaona mmeshamaliza hii mechi, hongereni in advance.
Yaani unakaa unawaza Pundamilia atufunge sisi???? Hii sio Arsenal ya wengerMan U tunawasubiri
Alisikika mnywa mataputapu mmoja.Timu pekee inayoweza kutufunga ni Liverpool tu... Hizi takataka zingine tutazikanda mmoja baada ya mwingine
#COYG
#COYG
Kipindi cha Wenger muda huu roho mkononi, Ila Arteta ametengeneza defence nzuri so far.Mimi naona bado na tunacheza kama tumeshashinda wakati tunatakiwa tufunge mawili mengine
Yaani unakaa unawaza Pundamilia atufunge sisi???? Hii sio Arsenal ya wenger
Ulikuwa unaniwangia kaka mkubwa hahah
Saka alifunga goli la kwanza. La pili ni Pepe2nd goal. SakaView attachment 1590192
Understood hahahah.Ndiyo furaha ya mpira hii, mwombee adui njaa.
Saka alifunga goli la kwanza. La pili ni Pepe
Mm anacho niuz leno kwa nn anaruhusu goriMcGoldrick amemjulia Leno kuwa upande wake wa kulia ndiyo dhaifu kuruka
Hili sasa ndiyo goli la pili.2nd goal. PepeView attachment 1590211