Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[https://pbs]

Fabrizio Romano

@FabrizioRomano

·

3h

Atlético Madrid have no intention to start any negotiation for Thomas Partey, as reported by June. It’s €50m release clause to be paid immediatly [NO installments] or nothing. Atléti board still convinced he’s not gonna leave the club on next 2 days.
 
Ndio nashangaa wanalalamika

Arsenal walikuwa tayari kufika dau la €40m+add ons

Lakini Aulas anakomaa anataka €60m

Hiyo ni overprice

Ukifikiria msimu uliopita

Tumetumia £100m kwa wachezaji wawili ambao kwa Arteta wana struggle kupata namba

Pepe na Saliba
Arsenal ni timu ya ajabu sana ikifika kwenye mambo ya usajili,Arsenal haina kiungo mzuiaji wala mshambuliaji that's why tukikutana na timu bora ulimi unatoka nje sasa kipi bora?kwenye soka kuna kupigwa na kupata hata kama wanapandisha price ipambane kibishi mfano tumemuuza Torreira tayari mbadala wake ni nani?Elneny?Xhaka?pia kumbuka kuna injuries zinatokeaga kama Atletico kutakuwa na partey Torreira sisi tutabaki na viungo ambao performance zao hazieleweki then kulikuwa na reasons zipi za kumuuza Torreira? (Muda utaongea)(ukicheza na timu kubwa unabana Pumb*** mechi iishe fasta fasta mambo gani haya
Yote hiyo midfield haizuii wala haishambulii)
 
Mi siku hz badala ya kubana Pumbu nabana Matumizi
 
Aaron dully jr nahtaj uu uzi wa arsenal au mpaka conectionnn
kits_historical_home14.jpg
 
Hakuna

Sașa hapo ni kukubali kupigwa au kutafuta mbadala mwingine chap,
Kwa akili tu ya kawaida unafkiri target ya Arsenal ilikuwa kwa hao wawili tu? Lazma kuna list ya wachezjji na hao nďio walikuwa vipaombele.

Sasa kutoa 60m kwa farmer league player si bora nirudi kwa kina Toddy Cańtwel, Bueńdia, Brooks, Joginho, n.k ambao washaonja joto la EPL,

Funzo nililolipata kwa kina Chamakh, Giroud, Lacazette, Bakayoko, Batshuay, Mendy n.k linatosha,hapo sijamuweka Nicolas nimpe muda kidogo
Usajili ni kamari lakini kamari ya wachezaji wa league1 ni ya kiwango haswaa@
Dully nimekupata vzr sana

Kunywa soda nakuja kukulipia

Kwasasa Mimi iman yangu ni 100% kwa Arteta
 
Arteta bila wachezaji wa maana tutakuja kumpa lawama bila sababu hapo Arsenal hata aje Klopp kwa viungo wa Arsenal (ambao big games hawazuii wala kushambulia)ataishia kunywa panadol kwa maumivu
 
Ufaransa tumepata watu wazuri pia. Kwa sisi kina Nasri, kwa wengine kina Drogba, Hazard, Kante, Mahrez. Watu wakiona ni sisi tunamtaka mchezaji bei yake inapanda sana kuliko uhalisia.
End ni ligi ngumu sana tena sana, huwezi fananisha na ligi ya ufaransa, mchezaji anatakiwa kuwa vizuri kisaikolojia na kiwango cha Uwanjani na hili ndilo linalomsumbua pepe, ana kiwango ila amekuja kwenye timu yenye presha ya mashabiki ambao wanaexpect vitu vikubwa kutoka kwake kiasi akiingia uwanjani anajikuta hayupo free kutoka na na deni alilonalo kwa fans wake

Mahrez, kante walikuja katika timu isiyo na presha walirelax wakaintroduce na kukuza viwango vyao na mpaka waliponunuliwa na timu zenye mashabiki walikiwa washakwiva,

Huyu pepe wanayemlalamikia angeanzia Everton kisha akaja Arsenal angekuwa moto,
 
Kweli
 
Fact ni kama Sammata ilivyomtokea but all in all lazima aonyeshe kiwango next season atajikuta yupo kwa Mkopo Burnley
 
Je leo hawa Sheffield tutakuwa na bahati nao? Hivi karibuni wameweza kutufunga au kutoa draw nasi EPL. Je leo watapona? Binafsi, nasema hii ni Arsenal ya Arteta si ya Emery so tutakuwa makini zaidi na hatimae tutashinda.
 
Mkuu punguza mihemko sawa,

Arteta kachukua timu ana miez 10 mambo aliyoyafanya ni makubwa

Katibu tatizo sugu la beki,

Kutibu kiungo ni swala la muda sio overnight
nasema ajiuzulu sababu naona kama anaonewa hapewi support inayotakiwa.
 
Ndio kama dirisha lake la kwanza

Yeye amesema Owner yupo pamoja nae na wana msapoti

Kumbuka emery dirisha la kwanza alipewa £70m la pili £140m

Mwaka Jana tumenunua wachezaji wawili £100m+ na hadi sasa Hawajaingia kikos cha kwanza

Pepe na Saliba (kutoka farmers league)

Msikilize vzr dully

Kroenke lazima aende kwa step

Mbona hao kina Madrid ,PSG, juve walikuwepo hawajafika hiyo €60m?
 
Hakuna

Sașa hapo ni kukubali kupigwa au kutafuta mbadala mwingine chap,
Kwa akili tu ya kawaida unafkiri target ya Arsenal ilikuwa kwa hao wawili tu? Lazma kuna list ya wachezjji na hao nďio walikuwa vipaombele.

Sasa kutoa 60m kwa farmer league player si bora nirudi kwa kina Toddy Cańtwel, Bueńdia, Brooks, Joginho, n.k ambao washaonja joto la EPL,

Funzo nililolipata kwa kina Chamakh, Giroud, Lacazette, Bakayoko, Batshuay, Mendy n.k linatosha,hapo sijamuweka Nicolas nimpe muda kidogo
Usajili ni kamari lakini kamari ya wachezaji wa league1 ni ya kiwango haswaa@
Eti farmer league player dah wakat juzi tulikua tunamsfia.
 
#afc As mentioned by @MarkyMBryans yesterday if Arsenal are to do a late midfield deal Partey one not dead.

Still interested and Torreira going there on loan sign of good relations with clubs.
 
Back
Top Bottom