Mtu akiwa na kiwango haijalishi yupo ligi gani. Ucl zimeenda timu mbili mojawapo inatoka hiyo unayoiita farmers ligue. Kutoka katika hiyo farmers ligue kuna timu imemtoa City, na hiyo timu ndiyo Aouar alikuwepo.
Leo watu wanaleta mambo ya sizitaki mbichi hizi.
Now am saying so lakini sina stats za Aoua lakini nachukulia yuko vizuri ndiyo maana bodi ilimtaka. Sasa mtu anakuambia tusiuziwe kwa overprice well then weka release clause au buy back option even bigger, Arsenal itakua timu ya kwanza kuuziw mbuzi kwenye gunia?
The only reason hatukukutana na hayo ni kwavile tulikua na sera ya usajili ya kijima. Lakini Man U, Chelsea, Liva, City wote wameuziwa na wanauziwa mbuzi kwenye gunia.
Madrid huyo hapo anamuangalia Hazard alipofikia Barcelona anawashangaa Dembele, Griezmann, Semedo n.k wanachomfanyia.
Na huyo Hazard ametokea ligi ambayo siyo farmers. Si ndiyo? Lakini yuko wapi leo? Tujitahidi kutumia references na reasoning, we needed any skilled CAM and Regista leo unawakosa unasema eti "Kwanza ni farmers ligue"