Hakuna
Sașa hapo ni kukubali kupigwa au kutafuta mbadala mwingine chap,
Kwa akili tu ya kawaida unafkiri target ya Arsenal ilikuwa kwa hao wawili tu? Lazma kuna list ya wachezjji na hao nďio walikuwa vipaombele.
Sasa kutoa 60m kwa farmer league player si bora nirudi kwa kina Toddy Cańtwel, Bueńdia, Brooks, Joginho, n.k ambao washaonja joto la EPL,
Funzo nililolipata kwa kina Chamakh, Giroud, Lacazette, Bakayoko, Batshuay, Mendy n.k linatosha,hapo sijamuweka Nicolas nimpe muda kidogo
Usajili ni kamari lakini kamari ya wachezaji wa league1 ni ya kiwango haswaa@