Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Issue ya Martinez inajulikana alitaka awe ndio regular starter, na pia arteta aliona si chaguo lake la kwanza.unadhani kutokuumia kwa Leno unadhani Martinez sokoni value yake ingekuwa ngapi na ukicheki umri umeenda?! Jiongezee.


Sent from my D5322 using JamiiForums mobile app
Sasa kati ya Leno na Martinez nani mzuri zaidi? Hapo tukubali tumepigwa tu, muda utaongea.
 
Hizi game kushinda bila wasiwasi tunashinda Ola ukweli ni kwamba timu inacheza vibaya na muelekeo hakuna
 
1st goal. Saka
1601821401294.gif
 
Back
Top Bottom