Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu unataka kusema hadi comrade Kipepe naye tumepigwa? Haiwezekani mkuu huyu dogo tuendelee kumpa muda ataja improve wani dei tu. May be mwisho wa msimu ujao ndio tuanze kumjaji sasa ivi bado mapema sana mkuu.

Kipepe mtu bhana ni swala la muda tu
 
Hee hadi Luiz tena?
Mkuu acha tu walivyokuwa wanawapigia chapuo kina luiz , Mara cjui elneny kaimprove unaweza kuogopa, Mara holding atampocket mane yaan ni vituko tupu. Mara andaeni mabeki wa 5 wakumkaba auba

Aubameyang in 90 mins vs LFC
0 goals
0 shots attempts
0 shots on goal
0 shots off target
0 key passes
24 touches
8 accurate passes only.
15 times possession lost
 
Mkuu unataka kusema hadi comrade Kipepe naye tumepigwa? Haiwezekani mkuu huyu dogo tuendelee kumpa muda ataja improve wani dei tu. May be mwisho wa msimu ujao ndio tuanze kumjaji sasa ivi bado mapema sana mkuu.

Kipepe mtu bhana ni swala la muda tu
Yule siyo mchezaji mkuu bali alikuwa muokota mipira huko aliko toka,inapaswa Arsenal warudi waangalie vizuri pengine labda tulibadilishiwa siyo yeye,Hakuna mchezaji anaye nikera hapo Arsenal kama PEPE na LACAZETTE
 
Wakuu, kesho asubuhi mimi nachukua train ya mwisho Euro Star kutokea St Pancras naelekea Lyon kuangalia ustaarabu.

Ni lazima tumsajili Houssem Aouar by Friday.

Tukutane jumapili Arsenal na Sheffield United.

Umeruka Alhamisi
unakutana na majogoo tena
 
Mkuu shida hao ndugu zako wanakelele kuliko uhalisia. Ndio maana ni wepesi kujipiga ban matatizo yanapotekea.

Hao utaanza kuwaona baadhi game ya Chelsea leo usiku wanakuja kupiga ramli.
 
Huyu Auba wa kukabwa na mabeki watano unataka kuniambia hana shot on/off target hata moja na nasikia alipewa mchezaji mmoja tu wa kumshughulikia!!
 
Mkuu husiumie sana ndiyo mpira ulivyo. Ila hata mie japo siyo mshabiki wa arsenal lawama nampa Lakazeti. Jamaa amepata nafasi mbili xa wazi lakini ndiyo ivo tena.

Jana sijamuona Auba yule msumbufu jana hajagusa mpira dakika 45 za mwanzo. Kipindi cha pili aligusa mara mbili tu
 
Yule siyo mchezaji mkuu bali alikuwa muokota mipira huko aliko toka,inapaswa Arsenal warudi waangalie vizuri pengine labda tulibadilishiwa siyo yeye,Hakuna mchezaji anaye nikera hapo Arsenal kama PEPE na LACAZETTE
Dully Jr, Aaron, Castr na Will Jr nsomba waje kutoa maelezo juu ya comrade Kipepe.
 
Huna team mzee
 
Kazi kubwabwaja mnasahau kuwa mna Kipepe na lacazzeteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…