Na mie nipo nawakilisha wadada wa asenali.
Na mie nipo nawakilisha wadada wa asenali.
Wakuu, leo nawategemea nyie mnipe updates manake dstv kudadadeki wamenitenda jeuri nilisahau kusubscribe kama kuna mwenye link naomba aniwekee hapa manake multchoice wananambia hadi kesho ingawa nimewalipa kwa mpesa!
Fabregas mpira ulikuwa mzuri ule kapewa baada kupiga shuti anataka sijui kwenda wapi matokeo yake ana dive kutafuta penati.
Asante mkuu!Kitu kishaanza wakuu kwa wale wanaotaka kuangalia online link hii hapa:
Watch Live Arsenal vs Ipswich Town
Huyu Fab anaenda chini kirahisi sana leo.......anaharibu mpira sasa....
Can someone ask Cesc to Stop diving?
Tunataka magoli bwana huyo dogo kama anapenda kulala si aende home kwa mkewe?