Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wacha ngebe wewe juzi ulikuwa unalialia kama kasuku kuhusu Rafael nikakuletea vifungu vya sheria ukaufyata chacha leo kono mbele. Khe khe kheeeeeeeeeeeeeee Ukishindwa hoja kubali usilete ukelele.

BTW kapigwa faini ya £8000 which is nothing to him kuliko angeongezewa ban .... ... shukuruni bado mnabebwa tu.

Yengele miiingi...Rafael ameadhibwa kwa kitendo alichofanya baada ya kupewa kadi mimi nilikuwa na watu wengine tulikuwa tunalalamikia kadi (hakustahili).
 
Mkuu mbona tulipoleta ushahidi hukurudi? Au niulete tena na usimamie kauli yako unayosema, tena nilisema kama Manure hawakubali hiyo kadi wafanye appeal ina maana wewe pamoja na yule kocha gani sijui hamfahamu sheria za kabumbu?
 
Mkuu mashabiki wa Manure watazijuaje sheria za mpira wakati walishazoea kufanyiwa kazi na Marefarii!!

Mkuu mbona tulipoleta ushahidi hukurudi? Au niulete tena na usimamie kauli yako unayosema, tena nilisema kama Manure hawakubali hiyo kadi wafanye appeal ina maana wewe pamoja na yule kocha gani sijui hamfahamu sheria za kabumbu?
Ulete tena huo ushahidi...ila for the record i stand by my words Rafael alionewa. Nikuulize kadi walizopewa Sagna na Zabaretta walistahili au la?
 
Duuuh...You missed the whole point..of course lazima passion iwe juu zaidi unless wewe ni glory hunter kama wacha1 au wakati unachukua kadi ya uanachama hukujua unao through thick and thin?
Otherwise weekend njema, by the way i am not singling you out take this as my welcome note kwenye jukwaa la michezo (the most peaceful forum out of them all).

Thank you very much!!! am a woman,do not be too hard on me.......lol 🙂:car:
 
Michelle!
Taratibuu basi mama, naona wakaribia mwaga bia za wenzako mezani. BTW karibu sana JF-Michezoni, wenzio tuko kitambo sana hapa, tunawajua sana nduguzo kina Wacha, AW, Kweli, Blntd, Mbu and the likes. Mkifungwa wte wanakugeuka. Hujachelewa sana, ni-PM nikugee kadi ya uanachama Stretford End, in the city of Manchester. We always be happy na wamoja there, when down when tukiwa juu kama leo.
Afu nyie kina AW acheni kumpotosha mwenzenu. Araaaa!

Thank you very much,count me in when down and when happy.......

Wananipotoshaje tena hawa???
 
Hii chama kubwa hata wewe unajua hivyo. Hageukwi mtu hapa. Tukishinda tupo tukifungwa tupo maana tunaelewa fika kwamba asiyekubali kushindwa si mshindani.
 
Uliniuliza lini? Unaweza weka ushahidi hapa?

Gonga hapa chini kwenye Thread ya Manure ndio tuliongelea maloloso yote ..... https://www.jamiiforums.com/sports-...um/7036-man-u-red-devils-hatushikiki-188.html khe khe kheeeeeeeee then utwambie kwa nini hamkufanya appeal wakati mna haki na wala hamkuvunja sheria.

Uwe unasoma kwanza sio unakimbilia kutype, sijasema nilikuuliza nimesema nikuulize... Kwa nini hawakuappeal hayo ni maamuzi ya Rafael na SAF after all he got away with a slap on the hand. Kwa nini wenger hakuappeal kadi nyekundu ya sagna ambayo hakustahili wakati mancini aliappeal ya zabaretta?
 
Hii chama kubwa hata wewe unajua hivyo. Hageukwi mtu hapa. Tukishinda tupo tukifungwa tupo maana tunaelewa fika kwamba asiyekubali kushindwa si mshindani.
hahah with all due respect mtu ambaye yuko hapa ata mkifungwa ni Arsene Wenger na mara moja moja wacha1 nyie wingine uwa hamuonekani. Haya waungwana kwa sasa basi ngoja niangalie american football.
 
Uwe unasoma kwanza sio unakimbilia kutype, sijasema nilikuuliza nimesema nikuulize... Kwa nini hawakuappeal hayo ni maamuzi ya Rafael na SAF after all he got away with a slap on the hand. Kwa nini wenger hakuappeal kadi nyekundu ya sagna ambayo hakustahili wakati mancini aliappeal ya zabaretta?

Umeanza chacha ushahidi umeomba umepewa chacha kono mbele kimbilia machwali kede kede. Nilijua tu utaanza kurukaruka kimanga, Mosi Arsenal hawaku-appeal kwa sababu wanafahamu Manure wanavyogawa brown envelopes kwa FA executives fact. Bila kubebwa hamfiki mbali fact. Babel kapasua jipu chacha tutaona ati kama na nyinyi mnaweza kuwa invincibles, natumai umesikia maneno ya professor on your dreams tunawangoja Emirates mwezi May tena njoo na gunia la magoli. Mkuu ningefurahi kama ungeleta ushahidi hapa wa mimi kukukimbia wewe Manure siku ambayo tulipoteza game. As far as I know kufungwa ni part ya game kwa sababu kama hufungwi huwezi kujua nini kimekupiga lakini ukiangalia records natumaini jibu unalo, haijawahi kutokea na bado tunashikilia record na nyinyi Manure mnajaribu kuifikia hiyo record thats the difference mate.

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

Endeleeni kulialia kama huyu jamaa hapa chini ..... ... ...... ... kwa jina anaitwa Wine Roomey

article-0-0CDDA0A8000005DC-365_634x465.jpg

khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Huyu kipa anamfanya nini mwenzie hapa jamani
 
Thank you very much,count me in when down and when happy.......

Wananipotoshaje tena hawa???

Hold on a bit, utajionea mwenyewe, hii ni kama Litmus test au mijamaa ya chemia inaita volumetric analysis, changes utaziona thr ur naked eyez. Mark my Words cute!
 
Umeanza chacha ushahidi umeomba umepewa chacha kono mbele kimbilia machwali kede kede. Nilijua tu utaanza kurukaruka kimanga, Mosi Arsenal hawaku-appeal kwa sababu wanafahamu Manure wanavyogawa brown envelopes kwa FA executives fact. Bila kubebwa hamfiki mbali fact. Babel kapasua jipu chacha tutaona ati kama na nyinyi mnaweza kuwa invincibles, natumai umesikia maneno ya professor on your dreams tunawangoja Emirates mwezi May tena njoo na gunia la magoli. Mkuu ningefurahi kama ungeleta ushahidi hapa wa mimi kukukimbia wewe Manure siku ambayo tulipoteza game. As far as I know kufungwa ni part ya game kwa sababu kama hufungwi huwezi kujua nini kimekupiga lakini ukiangalia records natumaini jibu unalo, haijawahi kutokea na bado tunashikilia record na nyinyi Manure mnajaribu kuifikia hiyo record thats the difference mate.

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

Endeleeni kulialia kama huyu jamaa hapa chini ..... ... ...... ... kwa jina anaitwa Wine Roomey

article-0-0CDDA0A8000005DC-365_634x465.jpg

khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
What a s*+@ load of bs... smh!
 
What a s*+@ load of bs... smh!

Mkuu yakikushinda usiwaige Mafioso team huna sababu ya matusi its just a game na Wine Roomey analia kama katoto kadogo khe khe kheeeeeeeeee. Na bado mwaka huu atakonda ndio akome ubishi.
 
Salam wakuu wote.kama kawaida yetu first elevn ishatoka na naona Wenger hataki mchezo leo:

Arsenal team: Szczesny, Sagna, Djourou, Koscielny, Clichy, Denilson, Wilshere, Fabregas, Bendtner, Arshavin, van Persie.
 
Back
Top Bottom