Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna dogo ananiambia 'Unaona wanaume tumepambana tumetoa suluhu?' nikacheka tu.

Nafika humu nakuta na humu mnajisifu kutoa suluhu baada ya kuongozwa na West brom.

Nilifikiri kwa thamani ya kikosi chemu kilivyoizidi West Brom quality ilitakiwa msishangilie ile suluhu.

Wewe ulienda mbali mpaka ukaahidi Timo atafungua akaunti ya mabao. Hata mi ningekua wewe ningesema hivyo maana West Brom ndiyo timu shit kuliko zote kwa zilizopanda haina hata win moja.

Sijui kama nyinyi plastic fans mnajali hata.
You dare to call me a plastic fan!!
 
Ni kazi rahisi kuwafunga Arsenal kwani Liverpool wanafanya pressing kule juu hivyo Arsenal wanaacha nafasi katikati na Mane, Salah na Firmino wanatumia hizo nafasi.

Arsenal iwatoe Willian, na Xhaka.

Hatuna creative midfielders kwa mechi kama hizi.
Let's wait ila kwa first half,Masta amefeli na tuna fixtures ngumu zinakuja balaa
 
Ni ukweli kwamba Liverpool wametawala kipindi cha kwanza.

Dakika yaenda ni ya 39
 
Ni kazi rahisi kuwafunga Arsenal kwani Liverpool wanafanya pressing kule juu hivyo Arsenal wanaacha nafasi katikati na Mane, Salah na Firmino wanatumia hizo nafasi.

Arsenal iwatoe Willian, na Xhaka.

Hatuna creative midfielders kwa mechi kama hizi.
Haahaaa huyu willian naye hajaonekana km DKK 30 hv
 
Yaani hii game tutapigwa mpaka goli6 hivihivi.... Tumezidiwa kilakitu, mbaya zaidi tunapoteza mipira bila sababu.... In short tunachezakama timu ya Geita Vijijini huko
Mnacheza na bingwa ambae yuko agressive anahitaji ubingwa wake aulinde safari hii liver tuko moto zaidi ya mwaka jana
 
Kitendo tu cha kuona man of the match wa game mbili (Gabriel) amepigwa benchi basi nikaishiwa nguvu
 
Ni Xhaka kazidiwa.

Ikiwa Arsenal itawasajili Aouar na Partey basi Xhaka atakuwa ni wa kipindi cha pili.

Back four inahitaji protection na kazi hiyo si Xhaka wala Elneny wanaiweza kwa timu kama Liverpool.
Arsenal atachez mpir kind cha2
 
Tumeongozwa kila kitu.

Kuna namna tukibadilika tunaweza fight.
 
Yaani hii game tutapigwa mpaka goli6 hivihivi.... Tumezidiwa kilakitu, mbaya zaidi tunapoteza mipira bila sababu.... In short tunachezakama timu ya Geita Vijijini huko
Hiiii game liver ali upania na plan yao game himalizkw half tim.
Liver walpng kipind cha kwnz waondk na magor meng ili kipibd cha pil waj kuzuia2
 
Goli la pili Willian kachangia. Mtu anatuliza yeye kashindwa kupress.

La kwanza ni kazi ya Tierney.

Tunasogea.
 
Vyanzo mbalimbali vya uhakika kabisa vya habari vinasema Arsenal wapo kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuwasajili kwa pamoja Houssem Aouar na Thomas Partey.

Lakini itakuwa ni baada ya Lucas Torreira na Shkodran Mustafi kwenda Atletico Madrid na Roma.
 
Back
Top Bottom