Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Garbage kama Garbage
20200928_102948.jpeg
 
Tumezidiwa sana itokee Miujiza ila kwa science ya football no way

Ni Xhaka kazidiwa.

Ikiwa Arsenal itawasajili Aouar na Partey basi Xhaka atakuwa ni wa kipindi cha pili.

Back four inahitaji protection na kazi hiyo si Xhaka wala Elneny wanaiweza kwa timu kama Liverpool.
 
Mjitahid sana mshinde maana msipo shinda walahi hili jukwaa mtaliona chungu, ndio nisha sema sasa amaua unacho fanya.
 
Yaani hii game tutapigwa mpaka goli6 hivihivi.... Tumezidiwa kilakitu, mbaya zaidi tunapoteza mipira bila sababu.... In short tunachezakama timu ya Geita Vijijini huko
 
Yaani hii game tutapigwa mpaka goli6 hivihivi.... Tumezoea kilakitu, mbaya zaidi tunapoteza mipira bila sababu.... In short tunachezakama timu ya Geita Vijijini huko

Tulia acha kulia lia. Mpira dakika 90
 
Back
Top Bottom