Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta akijibu maswali ya waandishi kuhusu Ozil kutokucheza

Mikel Arteta:

"..... Ni ngumu sana kwa Mesut [Ozil] na baadhi yao kuingia kwenye kikosi. ”

"Ni ngumu kwa wengine ambao hawakuhusika kwenye mechi z Ligi Kuu. Ninaelewa [maswali yenu] lakini lazima nifanye kazi yangu sawa sawa iwezekanavyo. Ninachagua wachezaji walio katika hali bora. ” #
 
Arteta on Ozil:

“The team is evolving, you can see the level they are achieving.
We are picking the players that we believe are the best for each game.”

“I understand and I respect your questions but I have to try to do my job as fair as possible. I try to select the players that are, in my opinion, in better condition.” #AFC
 
Newcastle kashinda 7.

Chelsea kashinda 6.

Everton kashinda 5.

West Ham kashinda 5.

Arsenal tumeshinds 2.

Now kama unahisi hizo goli ni chache nenda kaangalie timu ambazo zimefungwa hayo magoli. Jaribu kutamka majina yao na kukumbuka kama umewahi kuziona kwenye ligi kuu.

Tumeshinda goli 2 dhidi ya timu ngumu. Huu ushindi ni zaidi ya 7 za New Castle au 6 za Chelsea. Yule mshambuliaji anayeogopa mabeki kwa kudai wana miili mikubwa na warefu kala benchi nafikiri leo ilikua fursa yake ya kuscore, ila kama nilivyopoint "Asipoangalia atawapokea kijiti Tammy na Giroud"
 
Arteta:

"When you win, you have to keep trying to win because things change really quickly. That’s what we demand from the players, to keep competing in every game & to show desire to win every game. That’s what they did tonight again" #Arsenal
 
Nicolas Aaron Pepe sio mchezaji mwenye hadhi ya kucheza Arsenal! Ni level za Abidjan Mimosa na Africa Lyon maana hata Kagera Sugar hawezi kumtoa Farazzi.

Hatukununua mtu wa kuchenga bila manufaa huku ukiwa 25 yards out of goal! Tungehitaji chenga Iwobi angelikuwapo, anazidiwa na beki Bellerin anafanya chenga zenye tija na maamuzi ndani ya boksi. Hana maamuzi, hajui mpira unatakiwa kufika wapi.

Ni kitu cha kawaida kwenye football. Uwezo wa mchezaji kupotea kabisa au kiwango kushuka then kupanda. Usilaumu sana. Huenda kiwango kikapanda mbekeni. Au ndo Kepa mwingine
 
Mimi katika maisha yangu huwa nasema ukweli na kuzielezea hisia zangu halisi (Red ni Red, Yellow ni Yellow na Black ni Black) sina Black ni Red. Hili jambo huniweka huru na kuwa muongozo kwa wengine.

Nilisema humu kipindi Pepe analetwa kuwa ni overrated.
Overrated kivip, lete takwim zake akiwa Lille
 
Nafikiri Pepe amekua involved kwenye goli zote mbili.

Now Pepe akiwa Lille msimu wa kwanza alikua involved kwenye goals 18 kisha msimu uliofuata akawa involved kwenye goli 35.

Arsenal msimu wake wa kwanza kahusika kwenye goli 18. Huu ndiyo msimu wake wa 2.
Kama unahisi hizo stats ni mbaya tafuta stats za Ronaldo msimu wake wa kwanza Man u au Torres Chelsea au Hazard Real Madrid.

Huyu siyo Cf. Chelsea wana Cf mpya ambaye kashasema mabeki wa england wameshindikana wana kiungo mshambuliaji ambaye kaonyesha uhai mbele ya timu iliyojichokea ambaye katika game na liva alikua na pasi chache zenye macho zilizidiwa hata na assisst alizotoa Kane siku hiyo.

Pia simtetei. Hua namlalamikia mara nyingi humu ila takwimu hazidanganyi.
 
ni sawa na useme Hazard Ni mchezaji wa kawaida kisa ameshindwa kuspark kule Madrid
 
Newcastle kashinda 7.

Chelsea kashinda 6.

Everton kashinda 5.

West Ham kashinda 5.

Arsenal tumeshinds 2.

Now kama unahisi hizo goli ni chache nenda kaangalie timu ambazo zimefungwa hayo magoli. Jaribu kutamka majina yao na kukumbuka kama umewahi kuziona kwenye ligi kuu.

Tumeshinda goli 2 dhidi ya timu ngumu. Huu ushindi ni zaidi ya 7 za New Castle au 6 za Chelsea. Yule mshambuliaji anayeogopa mabeki kwa kudai wana miili mikubwa na warefu kala benchi nafikiri leo ilikua fursa yake ya kuscore, ila kama nilivyopoint "Asipoangalia atawapokea kijiti Tammy na Giroud"
Haaahaaaaa duh Mnacheza na Leicester iliyofanya changes ya wachezaji wote 11 mpk kipa ndo unaanza kujitapa hapa....James maddison mwenyewe kapewa game time ili akae sawa coz katoka kwenye injury....wewe umepanga Leno, luiz ,holding cjui vikina saka unaanza kujitetea ushubwada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nicolas Aaron Pepe sio mchezaji mwenye hadhi ya kucheza Arsenal! Ni level za Abidjan Mimosa na Africa Lyon maana hata Kagera Sugar hawezi kumtoa Farazzi.

Hatukununua mtu wa kuchenga bila manufaa huku ukiwa 25 yards out of goal! Tungehitaji chenga Iwobi angelikuwapo, anazidiwa na beki Bellerin anafanya chenga zenye tija na maamuzi ndani ya boksi. Hana maamuzi, hajui mpira unatakiwa kufika wapi.
Comredi Kipepe tumepigwa mkuu.
 
Sisi kama fans wa mpira tuungane kwa pamoja kupiga hizi tabia za kishetwani zinazoendekezwa na Baadhi ya wachezaji kwa lengo la kuhalalisha huu ushetani, angalia huyu mchezaji wa timu flani kubwa tu na refa katulia tu, Kama anaskilizia vile 😂😂😂😂😂
 
Attachments

  • 2528195_images.jpg
    2528195_images.jpg
    27.5 KB · Views: 5
Nafikiri Pepe amekua involved kwenye goli zote mbili.

Now Pepe akiwa Lille msimu wa kwanza alikua involved kwenye goals 18 kisha msimu uliofuata akawa involved kwenye goli 35.

Arsenal msimu wake wa kwanza kahusika kwenye goli 18. Huu ndiyo msimu wake wa 2.
Kama unahisi hizo stats ni mbaya tafuta stats za Ronaldo msimu wake wa kwanza Man u au Torres Chelsea au Hazard Real Madrid.

Huyu siyo Cf. Chelsea wana Cf mpya ambaye kashasema mabeki wa england wameshindikana wana kiungo mshambuliaji ambaye kaonyesha uhai mbele ya timu iliyojichokea ambaye katika game na liva alikua na pasi chache zenye macho zilizidiwa hata na assisst alizotoa Kane siku hiyo.

Pia simtetei. Hua namlalamikia mara nyingi humu ila takwimu hazidanganyi.
Nimekuelewa sana Castr
 
Sisi kama fans wa mpira tuungane kwa pamoja kupiga hizi tabia za kishetwani zinazoendekezwa na Baadhi ya wachezaji kwa lengo la kuhalalisha huu ushetani, angalia huyu mchezaji wa timu flani kubwa tu na refa katulia tu, Kama anaskilizia vile
Yule mwenzako Tushampiga ban ya miez mitatu,

Umebaki wewe , Unapokuja Jukwaa la wanaume ,kuwa na heshima
 
Kule France wanasemaga Arsenal ni maarufu kuliko PSG

Angalia tunacheza Europa lakini bado tunapambana na Wachezaji wanaocheza UCL

Kuna msemo kuwa bila UCL huvutii wachezaji kwako , huu msemo kwetu Sioni ukifanya kazi

Aouar and Partey wanapenda kuja Arsenal
ndio maana huwa nasema tukiondoka huwa mnajazana ujinga tu. Yan mmejazana kule kwetu kumbe hiki ndio kinaendelea huku?

Salaleee ama kweli vituko haviishi.
Screenshot_20200224-132635_1595187825261.jpg
 
Haaahaaaaa duh Mnacheza na Leicester iliyofanya changes ya wachezaji wote 11 mpk kipa ndo unaanza kujitapa hapa....James maddison mwenyewe kapewa game time ili akae sawa coz katoka kwenye injury....wewe umepanga Leno, luiz ,holding cjui vikina saka unaanza kujitetea ushubwada

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka kikosi cha licester kilichocheza jana
 
Back
Top Bottom