Unavyosema msimu huu utafikiri tupo mechi ya ngapi sijui kumbe ya pili tu kwahiyo hapo tunarefer msimu uliopita ambapo hiyo timu nzima imekua first eleven.Sasa ndo nn.....hapo huoni tumefanya squad rotation ukiachana na mount, havertz, kovacic ambao wamekuwa regular starters mpk sasa....azpi katoka kwenye injury kapewa game ajinyooshe ..vilevile kwa thiago Silva, hao wengine hawajawa regular starters sana huu msimu ambao hatujaona 1st eleven yetu tunayoitegemea kutokana n injuries n.k.
Halafu ndiyo mkawapangia Barnsley hichi kikosi???
Arsenal tumecheza hii game na Leicester huku Aubameyang, Gabriel, Ozil, Guendouz, Tierney hawapo hata kwenye sub.
Na tumeshinda
Natamani sana arsenal niwaone weekend hii.
Na hata ubingwa mnaweza mkachukua kama miaka ya nyuma mlivyokuwa mnabeba.
|| Atletico have told Arsenal they’d like Torreira on a dry loan but Arsenal want an obligation included into the deal & rate the Midfielder at €24m (£22m) [via - @DiarioAS].