Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

FT: Leicester 0-2

Fuchs (kajifunga)
Nketiah

Ushindi mzuri, vijana wameupiga kwa kujiamini na tungewachakaza nyingi tungekua makini.

Baadhi ya vitu muhimu nilivyo viona ni kama:

Reiss Nelson ni mchezaji anahitaji muda ana uwezo mkubwa sana.

Luiz ni kamanda anatusaidia sana kupunguza presha na kuleta utulivu pale nyuma, kucheza na Holding na Kolasinac sio kazi ndogo.

Elneny mapafu ya mbwa, kaupiga mwingi sana leo, alikua mtu muhimu kwenye kuunganisha timu.

Arteta mtaalam wa mbinu tena, kutengeneza mashambulizi na 433,kuzuia na 541 na kushambulia na 325, Leicester walikosa pakutokea.

Yote kwa yote mechi ilikua nzuri, makosa hayakuwa mengi tumetinga raundi ijayo tutakutana na Liverpool bila shaka .

#coyg
arsenalbongo_-20200924-0001.jpg
 
Haaahaaaaa duh Mnacheza na Leicester iliyofanya changes ya wachezaji wote 11 mpk kipa ndo unaanza kujitapa hapa....James maddison mwenyewe kapewa game time ili akae sawa coz katoka kwenye injury....wewe umepanga Leno, luiz ,holding cjui vikina saka unaanza kujitetea ushubwada

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hizi line ups bado unaleta excuses?!

By the way bench la timu kama Man City lina wachezaji bora kuliko first eleven za vilabu vingi tu vikubwa.

Kwa hiyo kama unaona hiyo ni strong selection sio kosa letu pia 'maisha' hayafanani.
Screenshot_20200924-084742.jpeg
Screenshot_20200924-084730.jpeg
 
Kitu kingine ambacho kinatupa matokeo ni level ya discipline imepanda, redcards zimepungua. Naamini kabisa huko nyuma redcards zilichangia kutukosesha matokeo mazuri.
Uko sahihi, tactically discipline yetu imepanda sana. Mbali na redcards tulikuwa tunatoa penati nyingi sana, kona na fouls kibao huku tukiwa wabovu sana kwenye kudefend set pieces.
 
Lequipe this morning :
-OL Lyon want 60MEUR for Aouar.
-No offer has been received for Houssem Aouar
-Arsenal were the most active on this transfer and offered 30MEUR + Guendouzi but not via the official channels. This offer was hardly admissible in the eyes of OL Lyon
 
Kwa hizi line ups bado unaleta excuses?!

By the way bench la timu kama Man City lina wachezaji bora kuliko first eleven za vilabu vingi tu vikubwa.

Kwa hiyo kama unaona hiyo ni strong selection sio kosa letu pia 'maisha' hayafanani.View attachment 1578937View attachment 1578938
Nmeandika hvyo kutokana na wivu wa ndugu yenu akizungumzia ushindi wa arsenal dhidi ya Leicester na kuukosoa ushindi wa Chelsea dhidi ya Barnsley kwamba wamepata opponent mwepesi sasa cjui mnateseka nn hata comment zenu kwenye Uzi wa blues ni za( wivu na kuteseka) mi nikamwambia asiongee ushubwada hata hao opponent mliocheza wamerotate kikosi chao chote tofauti na kilichocheza jpili vs Burnley ...so sio kipimo tosha hatua hizi za awali za carabao timu zinarotate vikosi vyao sana
 
Haaahaaaaa duh Mnacheza na Leicester iliyofanya changes ya wachezaji wote 11 mpk kipa ndo unaanza kujitapa hapa....James maddison mwenyewe kapewa game time ili akae sawa coz katoka kwenye injury....wewe umepanga Leno, luiz ,holding cjui vikina saka unaanza kujitetea ushubwada

Sent using Jamii Forums mobile app
Luiz katoka majeruhi.

Leno kacheza kwakua hatuna back up stable.

Holding anagewa game time.

Saka ni lazima acheze carabao.
 
Lequipe this morning 'For Houssem Aouar everything remains open & the player wants a change of scenery'
 
Nmeandika hvyo kutokana na wivu wa ndugu yenu akizungumzia ushindi wa arsenal dhidi ya Leicester na kuukosoa ushindi wa Chelsea dhidi ya Barnsley kwamba wamepata opponent mwepesi sasa cjui mnateseka nn hata comment zenu kwenye Uzi wa blues ni za( wivu na kuteseka) mi nikamwambia asiongee ushubwada hata hao opponent mliocheza wamerotate kikosi chao chote tofauti na kilichocheza jpili vs Burnley ...so sio kipimo tosha hatua hizi za awali za carabao timu zinarotate vikosi vyao sana
Hicho nilichoandika ndiyo ukweli wenyewe.

Hiyo timu yenu ingecheza na timu ya level ya Leicester sasa hivi mngekua mmejifungia kama mlivyoususa uzi wenu.
 
Haaahaaaaa duh Mnacheza na Leicester iliyofanya changes ya wachezaji wote 11 mpk kipa ndo unaanza kujitapa hapa....James maddison mwenyewe kapewa game time ili akae sawa coz katoka kwenye injury....wewe umepanga Leno, luiz ,holding cjui vikina saka unaanza kujitetea ushubwada

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hiki hapa kikosi cha Chelsea kilichocheza na Barnsley inayoshiriki Championship huku ikiwa na tatizo la financial instability.

1: Caballero
2: Azpilicueta
3: Tomori
4: Thiago Silva
5: Emerson
6: Kovacic
7: Barkley
8: Mount
9: Havertz
10: Hudson Odoi
11: Tammy

Subs;
Baxter, Zouma, Chillwell, James, Jorginho, Giroud.

Taja wachezaji wanne katika hiki kikosi ambao hawachezi kwenye ligi
 
Sasa ndo nn.....hapo huoni tumefanya squad rotation ukiachana na mount, havertz, kovacic ambao wamekuwa regular starters mpk sasa....azpi katoka kwenye injury kapewa game ajinyooshe ..vilevile kwa thiago Silva, hao wengine hawajawa regular starters sana huu msimu ambao hatujaona 1st eleven yetu tunayoitegemea kutokana n injuries n.k.
 
Back
Top Bottom