he was young imagine 2011 alikuwa na Umri gani?Runar naonekana si mchezaji tu wa arsenal,Bali pia moyo wake upo arsenal,
Hiyo ni tweet yake ya 2011 tulipofungwa 8-2 na utd..
Once a gunner always a gunner.View attachment 1576613

kuandika hiyo tweet ni utoto tuMkuu sikupingi! Haya maneno akiyaongea Kepa au Da Gaa kesho yake wanakula goli tano hata na SheffieldChama limeshakuwa kubwa hili![]()
KT ni mzima ,shida alijitonesha msuli kidogo maana kwenye lineup Ali kuwepo,hivo ikachukuliwa tahadhari ,ila Arteta alisema yupo OKBinafsi I choose Elnenny any Day mbele ya Ceballos
Elnenny ana displine ya kupiga pass alafu ana Nguvu sana
pia AMN ni muhimu sana kuwepo kwenye Kiungo anaongeza STEEL, kitu sitaki katika Kikosi Anfield ni Kuanza XI na SAKA na CEBALLOS
lakini Pia Kwenye Defence kutokuwepo kwa Tierney ni Shida so Luiz, Gabriel, na Holding ni Option nzuri zaidi kwa 3 CB at the Back
kama Ulivyosema WILLIAN ataanza game nyingi zaidi mbele ya Pepe hili halina Ubishi Willian ni Deadly na ana offer Defensive Duties
Nimeipenda sana ,aiseeStori kidogo ikiwa inasimuliwa na Ray Parlour akikumbuka siku Kolo Toure amekuja kufanya majaribio na Arsenal.
Mpira ukaanza na hata haujafika mbali mpira ukaenda kwa Thierry Henry, Kolo Toure hata alipotokea akafanya sliding tackle na kula zote.
Henry chini huku anagumia maumivu.
Wachezaji wakapaniki as Henry ndiye star wa timu na timu ipo kwenye mashindano mbalimbali na Toure anamuumiza Henry.
Wenger akang'aka akamuwakia Toure na kumuambia asifanye sliding tackle.
Toure akakubalia kuonyesha kaelewa.
Kisha mpira ukaanza tena, ukatua kwa Bergkamp bwana Toure hata alipotokea akala zote Bergkamp chini Toure anaonyesha kusikitika.
Mchezaji muhimu wa pili akawa kaangushwa palepale Wenger akamwambia tena Toure "Nilikuambia usilale usirudie tena"
Toure akatikisa kichwa kuonyesha kaelewa.
Mpira ukaanza tena, safari hii mpira ukatua miguuni kwa Wenger.
Toure hata alipotokea akala zote Wenger chali akawa anagumia kwa maumivu watu wote wanamshangaa Toure, Toure machozi yanamlenga huku anababaika.
Siku ya kwanza ya majaribio Toure alimkata Henry, Bergkamp na Wenger.
Ray akaingia chumba cha medical akakuta Wenger ameweka barafu kwenye goti Ray akamuuliza Wenger "Vipi?" Wenger akajibu "Huyu tutamsajili kesho, nimempenda anaonyesha ana determination sana"
RelaxKama tungemtaka huyo mgunduzi tusingemtoa kwa mkopo Conor Callagher kwenda West Brom kwa maana uyo dogo ni mara 3 ya mgunduzi.
Waongeze na pesa kama 23m hivi,Arsenal & Chelsea are in talks over a possibility a swap deal between Guendouzi & Kante, according to reports.
Acha uwongo wewe, hakuna jambo kama hilo, mulimfata nyinyiIssue ya Thiago nilikubishia kwa sababu ulidanganya sisi tumepeleka offer na wakati agent wake ndio alitu offer sisi na siyo sisi kupeleka offer kwake.


Tumeenda sawa kote huko ila tunatofautiana sehemu moja tu..KT ni mzima ,shida alijitonesha msuli kidogo maana kwenye lineup Ali kuwepo,hivo ikachukuliwa tahadhari ,ila Arteta alisema yupo OK
binafsi napenda twende kama kawaida 3-4-3
Leno kwenye back Luiz Gabriel KT
Hapa mipira ya juu yote itakuwa yetu
Katikati twende na
Bellerin Ceballos Xhaka Niles
Niles na KT wanajuana vzr sana , halafu Niles ana attribute za Midfielder, So huwa anaoffer zaid ya Saka kwenye hiyo nafasi
Pia Niles na KT wanajua sana kufanya movement kwa u sahihi, na Niles ni mkabaji mzuri ,kwanza ni Right footer halafu KT ni left footer hivo Winger aliyepo upande huo huwa wanamdhibiti vizuri sana kuliko wote Wawe Left footer mfano awepo Saka na KT ,au KT na Kola ,
Mbele kama kawaida
Willian Lacazette Auba
Ceballos hapana kwanguKT ni mzima ,shida alijitonesha msuli kidogo maana kwenye lineup Ali kuwepo,hivo ikachukuliwa tahadhari ,ila Arteta alisema yupo OK
binafsi napenda twende kama kawaida 3-4-3
Leno kwenye back Luiz Gabriel KT
Hapa mipira ya juu yote itakuwa yetu
Katikati twende na
Bellerin Ceballos Xhaka Niles
Niles na KT wanajuana vzr sana , halafu Niles ana attribute za Midfielder, So huwa anaoffer zaid ya Saka kwenye hiyo nafasi
Pia Niles na KT wanajua sana kufanya movement kwa u sahihi, na Niles ni mkabaji mzuri ,kwanza ni Right footer halafu KT ni left footer hivo Winger aliyepo upande huo huwa wanamdhibiti vizuri sana kuliko wote Wawe Left footer mfano awepo Saka na KT ,au KT na Kola ,
Mbele kama kawaida
Willian Lacazette Auba
King Ngwaba ni Arsenal lia lia, anazugazuga kule Liverpool, atarudi home usijaliNamheshimu huyo jamaa nilitamani awe arsenal but now naona gspain anapita Njia hizo
King Ngwaba ni Arsenal lia lia, anazugazuga kule Liverpool, atarudi home usijali



Kwa mujibu wa Mundial na Goal, Arsenal, Barça na Real Madrid ndio vilabu vinavyo ongoza kupendwa na wachezaji. Arsenal na Barça in terms of Loyalt, while Madrid sababu ya financial situation na mafanikio.Runar naonekana si mchezaji tu wa arsenal,Bali pia moyo wake upo arsenal,
Hiyo ni tweet yake ya 2011 tulipofungwa 8-2 na utd..
Once a gunner always a gunner.View attachment 1576613
Rubaman alipotelea wapi? maana kwa kulalamika yule? ni shidaKing Ngwaba ni Arsenal lia lia, anazugazuga kule Liverpool, atarudi home usijali
Kule France wanasemaga Arsenal ni maarufu kuliko PSGKwa mujibu wa Mundial na Goal, Arsenal, Barça na Real Madrid ndio vilabu vinavyo ongoza kupendwa na wachezaji. Arsenal na Barça in terms of Loyalt, while Madrid sababu ya financial situation na mafanikio.


Yes na eneo kubwa kimkakati katika mauzo ya jezi.Kule France wanasemaga Arsenal ni maarufu kuliko PSG![]()
King Ngwaba ni Arsenal lia lia, anazugazuga kule Liverpool, atarudi home usijali
Rubaman alipotelea wapi? maana kwa kulalamika yule? ni shida