Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sidhani. Yaweza kua ana mzazi mwenye jina hilo ila mimi mara ya kwanza nilimuona kwenye FIFA nikadhani mbongo
Niliuliza sababu ya surname yake (Shabani) ila naona ni raia wa Germany amezaliwa Munchen na amekulia academy ya Bayern kabla ya kuja Wolves.

Wazazi wake wana asili ya Kosovo Albania kutoka manispaa ya Stimlje.
 
Mohamed Elneny starts against Leicester today. Those close to the player tell me he's staying at Arsenal, contrary to recent reports in the Egyptian media. #AFC

#LeiArs https://t.co/bZqkbTHw6Q
IMG_20200923_182958.jpg
 
Niliuliza sababu ya surname yake (Shabani) ila naona ni raia wa Germany amezaliwa Munchen na amekulia academy ya Bayern kabla ya kuja Wolves.

Wazazi wake wana asili ya Kosovo Albania kutoka manispaa ya Stimlje.
Jamani shabani ni jina lenye asili ya kiarabu wabongo tumeiga tu
 
Reiss Nelson set to be in the Arsenal squad for tonight's EFL Cup tie against Leicester. He and the club are still waiting to get a sense of the loan market for him. He'll be hoping that tonight he can show Mikel Arteta and Edu that he's ready for a more immediate role

https://t.co/dkdx4L73wj
 
Jamani shabani ni jina lenye asili ya kiarabu wabongo tumeiga tu
Uko sahihi ila nadhani kiarabu na jamii zingine linaandikwa Shaban, Sha'ban au Shaaban.

Sasa la huyu Meritan limeandikwa Shabani (ya kiswahili) ndio ulikuwa msingi wa swali langu mkuu.
 
Torino still want to sign Torreira, he will cost around £22m. Atletico want a loan deal but Arsenal would prefer more cash at this moment in time for players to bring in. [sky sports]
 
Hili saga la Torreira naona tunazungushwa tu!

Nafkiri hii deal is unlikely to occur.. Labda msimu ujao!
 
At the King Power - Bellerin, Ceballos and Leno out there, suggests Arteta is taking it fairly seriously.
IMG_20200923_202223.jpg
 
Saliba on the bench. Torreira, Özil & Guendouzi can’t even make the bench of a carabao cup
IMG-20200923-WA0019.jpg
 
1st half imemalizika Leicester 0-0 Arsenal.
Leo timu yetu inacheza vizuri kuna improvements kulinganisha na gemu dhidi ya Westham hasa kwenye usahii wa pasi na aggressiveness.
Tungepata goli 2 kama tungetumia nafasi vizuri, umakini unahitajika.

Kuelekea 2nd half ningependa Ceballos aingie nafasi ya Willock pia Lacazet achukue nafasi ya Nkethia.

Kila la kheri the Gunners.
 
Back
Top Bottom