Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Ohoo kama mbao tuWacha bwąnaaa aaaahhh, unataka kusma jamaa ni kama mbao fc wanavyotumia kirumba?![]()



Ohoo kama mbao tuWacha bwąnaaa aaaahhh, unataka kusma jamaa ni kama mbao fc wanavyotumia kirumba?![]()



|| Arsenal have agreed personal terms with Houssem Aouar & will propose a bid of around €45m (£41.2m) next week [via - @LucaFiorino24].Hahahaha...ni kweli lakini...hahahhaTuna ground kali sana, sio kama kile kıbakuli cha jirani
Game yao nimecheki, Everton hawakuwa wakitisha sana leo.West Brom inakua timu ya kwanza kufa nyingi.
Everton wamecheza mpira mkubwa sana.
Timu yetu iko vizuri msimu huu angalau yapo matumainiPamoja ,sana Leo tupo na wabeba nyundo
Tupo home
Naiman tutashinda tuzidi kujiimarisha zaidiView attachment 1574186
Everton ni wakuchungwa msimu huu.West Brom inakua timu ya kwanza kufa nyingi.
Everton wamecheza mpira mkubwa sana.
Nikawaida kwa Arsenal kuongoza mwanzo wa ligi.Timu yetu iko vizuri msimu huu angalau yapo matumaini
Leo mnapigwa. BishaKwahiyo tukuletee picha za Salah, De Bruyne na wengine? Sometime unakua mjinga kiukweli
Kesho utalia ujue mtapigwa kipigo cha mbwa kokoLeo mnapigwa. Bisha
Ligi hii ni ngumu sana, Man U keshakula kichapo huko dk ya 30 sasa, sijui kama watachomoaLeague ya Mwaka huu ni tight sana,we have to fight a lot,nimemcheki Everton leo mhhh nisiwe muongo timu pinzani zimejipanga ukiacha utopolo (zebra) hawa ndo hawasomeki kilio changu kimebakia kwenye midfield let's hope kuna mtu ataletwa hapo kati
Utabir wenu wakubwaGadian wamepredict lineup hizi View attachment 1574140
Mbele ya Werner?Giroud?Odoi? Wale liverpool wajipange haswa.Kesho utalia ujue mtapigwa kipigo cha mbwa koko