computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hao ndo kina nani?Mbele ya Werner?Giroud?Odoi? Wale liverpool wajipange haswa.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hao ndo kina nani?Mbele ya Werner?Giroud?Odoi? Wale liverpool wajipange haswa.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
we wapi na mpira kitoabu zaidi ya kujua uchawi e bana tuache na timu yetu😀😀😀ebooNikawaida kwa Arsenal kuongoza mwanzo wa ligi.
Kolasinic kashachoma yanitunaongoza tayari
pongezi kwa lacazzete
Duu auzwe tuKolasinic kashachoma yani
Tunavutia kasi msiba utahamia huku..Game nyepesi hii ila tusipokuwa Makini tutakuwa na usiku mrefu sana on target 1 na vijipasi ambavyo havina maana