Tumepigwa 2 kwa 1Leo mnapigwa. Bisha
Tumepigwa 2 kwa 1Leo mnapigwa. Bisha
Matokeo ngap ngap mkuu?Pumbavu wewe. You are as good as a Shit
Utakuja kuwa mchawiLeo tupigwe kwakweli tupunguze midomo maana tunaongea sana.
Come on Westham piga mbuzi haoo![]()
Kwakweli wamekutoa kimasomasoWest ham, nitoeni kimaso maso.
Hata sare itafaa.
GGMU
Kukosekana kwa Kieran Tierny, lilikuwa pengo kubwa sanaHongera wana Gunners kwa ushindi, gemu ya leo imekua tofauti na wengj tulivyotarajia. Hii EPL ya msimu huu si mchezo, kila timu imejipanga.
Tumefungwa 2-1Nanyinyi niwalewale lazima mgongwe nyang'au nyie.
Kolasinac hamna kitu mule asepe tu kwakwelilaccazete na Colasinac bado sijawaelewa asee
Niles atacheza game ya Liverpool ndo anahitajika mechi kama hizoKolasinac hamna kitu mule asepe tu kwakweli
Nilimmis sana Kieran Tierny,
Halafu Niles Ni mtu sana
Yaan kukosekana kwa Niles na KT ,mapengo yao yakaonekanaNiles atacheza game ya Liverpool ndo anahitajika mechi kama hizo
Auzwe,hafai kucheza Arsenal ya ArtetaKukosekana kwa Kieran Tierny, lilikuwa pengo kubwa sana
Huyu kolasinac aende tu kwakweli
Arteta kakasirika sanaAuzwe,hafai kucheza Arsenal ya Arteta
Hahahaha nlikuwa bize na ball,Mkuu fanya kweli kwenye update za game ya leo...

Lacazette
Antonio
Nketia