Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Torreira “I’m ready”
Unafanya kama hivi mkuuMkuu hawa wanaotukana tulisha kubaliana kuwapuuza, tukiwajibu inakuwa kama tunawakaribisha waendelee kututukana.
Bora vitu vyengine tuvimezee tu tusivilete humu.Hapo ndipo yanadhihirika Yale maneno ya C.E.O alisema
Hatutegemei hadi kuuza ili tununue ,
Kinachosababisha had sasa Ili waondoke watu ndio tusajiri ni Sheria za FA
Zinataka hawa wachezaji kutoka nje ya England wawe mwisho 17, sasa had sasa Arsenal inao 18 ,
Ndio maana hela ya Martinez ,tulitegemea isaidie kuboresha kiungo, lkn tumesikia walituma £10m kwa Brentford na ikakataliwa.
Hivo Arsenal watatuma £15m wampate Raya huyu GK, halafu wamuache kwa mkopo,
Kuna taarifa ilitoka Jana inasema atakapoondoka tu Toreira wataingiza MTU,
Na dili la toreira limekuwa complicated ,Arsenal hataki kuuza kwa hasara kubwa, Torino wanamtaka kwa mkopo watangulize £11m ,halafu £11m nyingine watalipa ila itategemea mech atakazocheza, na kama.wakifuzu European tournaments .
Dili limestak hapo,
Ila Arteta alituahidi bado timu ipo active kwenye usajiri,
Ofa ya Aouar itatumwa muda wowote ,
Leo James oley anasema Wakiondoka hawa fringes players , ndio tunasajiri
Zaidi soma hizi taarifa ...
Lyon have identified AC Milan's Lucas Paqueta as the replacement for Houssem Aouar. [L'Equipe Via independent]
Arteta wants to sign Houssem Aouar from Lyon and Atletico Madrid's Thomas Partey. Arsenal need to offload several fringe players before they can make further signings.
Torreira, Sokratis, Kolasinac, Ozil among players whose availability has been widely circulated. [@JamesOlley]
Arsenal are continuing to pursue a deal for Brentford goalkeeper David Raya after having a £10 million bid rejected, sources have told ESPN. Deal to sign Iceland international Runar Alex Runarsson from Dijon close to completion.
Sources: Arsenal want Raya despite bid rejection
Guardian: The Guardian understands Arteta would prioritise a move for Aouar if given a straight choice between the two (Aouar & Partey)
And believe me. Liverpool have got a diamond in their locker.Thiago "Mazinho" Alcantara ni maestro fundi wa mpira, hakuna mwenye kuubeza uwezo wake..
Nafikiri Arsenal hawakufikiria kigezo cha umri au injury, ishu kubwa ilikuwa ni namna gani ya kumshawishi ili aje pale Emirates.
Thiago ni UEFA Champions League Player, hivyo ingekuwa ngumu kumshawishi UEFA Champions League Winner wa 2019/20 aje kucheza UEFA Europa League 2020/21.. Sisemi haiwezekani ila ni ngumu ukiangalia na nature yenyewe ya mchezaji.
Sababu nyengine ambayo ndio iliwafanya hata Man Utd kujitoa kwenye mbio za kumwania ni makubaliano kwenye Personal terms.. Jamaa ana release clause ya kawaida (£20m) ila ishu ni kwenye makubaliano juu ya salary, Thiago ana-demand mshahara mrefu mno. Hiyo ndio alikuwa changamoto yake nyingine.
Ila ukiacha yote hayo, hakuna asiemjua Thiago. Mchezaji kama yule anakitimua kwenye timu yeyote ile kwa moto ule ule, tofauti hawa wakina Kai Havertz ambao ni wachezaji wa msimu mmoja.
Kwan fringe player ni nini?Bora vitu vyengine tuvimezee tu tusivilete humu.
Yaani na Sisi tunakubali mtu anapo muita torreira fringe player???
Yaani mkuu humu kuna kamba nyingi sana.computerarsenal Usipotoshe umma kwa kitu chenye uthibitisho, unaposema Mo Elneny hauziki au mwaka wa tatu hana full season Arsenal ni kuongopea umati na jamii ya Arsenal na wanamichezo.
Mohammed Elneny amesajiliwa 2016 akitokea FC Basel, amecheza Arsenal vizuri tu ilifika hatua after Mertesäcker kustaafu Arsené akamtransform kuwa beki ocassionaly huku akimpatia jezi namba 4.
26 Mar 2018 Arsené alimsainisha mkataba around 4 to 6 year's kuendelea kucheza Arsenal huku Ramsey na Wilshire wakibaki uncertain.
20 April 2018 Arsené akaachana na Arsenal kwa heshima Emirates. Baada ya muda mfupi Arsenal ikamuingiza Unai after 2 au 3 weeks Emery alifanya jambo zuri sana around 15 July 2018 kwa kumsainisha Xhaka 5 years contract.
Elneny 2019 baada ya uwepo wa Torreira na deal la Beşiktaş 3£ Loan deal kwa mwaka Unai akamuachia. Miaka mitatu ya kutouzika ipo wapi?
Rai yangu computerarsenal omba radhi mashabiki wa Arsenal, Fútbol na michezo kwa kupotosha umma.
Aisee mkuu uvumilivu umenishinda nitakuwa nafuatilia kwa karibu hatua za hawa watu.Yaani mkuu humu kuna kamba nyingi sana.
Sometimes nikisoma posts za wana gunners wenzangu humu nafunika kombe tu.
Ila ndugu ukiona mtu amekosea unamrekebisha kama alivyo Fanya hapo juu jamaa.Yaani mkuu humu kuna kamba nyingi sana.
Sometimes nikisoma posts za wana gunners wenzangu humu nafunika kombe tu.
West ham United
EPL 2/38
Saa 22:00 EAT
Emirates Stadium
Michael Oliver

We're back home on Saturday
⠀
We're back home on Saturday
⠀
⠀
![]()
Yah ni Highbury huoHivi huo uwanja wa kulia unaoonekana kwenye hiyo pichandiyo uliyokuwa Highbury Park au ni uwanja wa Timu gani?