Kwa huu mfumo EPL utakula za uso hadi uchakae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo mfumo ni kwenye farmers league sio EPL tuacheni masihara Pepe au laca mmojawapo lazima akubali kukaa benchi ila sio kwa kutumia mfumo huo maana ni kwamba kama Pepe atacheza Laca lazima akae benchi the same kama Laca akicheza Pepe atakaa benchi that's the fact and bitter truth
Arteta bado anawalea sana vitoto vya kiingereza A.K.A virojorojo up to now sioni cha Nketiah Smith Willock Nelson either kuhitajika na timu tofauti hasa za EPL or hata kupelekwa kwa Mkopo wanatajwa Torreira Sokratis Kolasinac Ozil na wengineo ambao hawa angalau wachache wao wangebaki wangeweza kusaidia timu I don't know what is the problem ila kwa upeo wangu hivi virojorojo havina viwango hapo Arsenal ndo wameona ni pa kufia
Hawa Watoto wala Arteta hana mpango nao.
Siunaona hata Saka tu ,sasa hivi namba kwake ni ngumu
Halafu kwenye midfield , Ukitoa Xhaka na ceballos , anayefata ni elneny,
Hapo anataka kuwaleta Partey na Aouar
Huyo willock. ,atapata wapi namba kwenye mech muhimu?
Angalia kule mbele , hata Pepe sasa hivi anatakiwa kupigania namba , vipi kwa Nelson?[emoji23][emoji23]
Arsenal inawaondoa wale wachezaji hasa wenye mishahara mikubwa ambao Arteta hawahitaji hasa
Mwisho wa Siku Kocha anataka awe na Kikos imara sana
Kumbuka huyu kakaa na Pep ,ambaye Nafas mbili zinapiganiwa na Mahrez,Bernardo, foden,sane ,rahim ,
Ndipo Anapoelekea Arteta kuijenga Arsenal ya namna hiyo
Kwanza anapenda versatile players ,
Niliwahi kusema humu , Taratibu nafasi za kina Joe willock, Guendouz zitapotea automatically ,wenyewe wataomba kusepa au loan bila kulazimishwa na mtu
Imagine , nafas ya kiungo , Elneny mwenyewe hana uhakika. , sasa Guendouz na Willock je?
Saka huyu Hana uhakika ,