Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nafasi ya Partey Arsenal inazibwa na Elneny. Sitoshangaa akimuopt Houssem over Partey.

Arteta Man city walikua wanacheza 4 3 3 ambayo ikinyumbuliwa inakua 4 1 2 3 ambapo hiyo 1 ni Dmf Lodi, na 2 ni amf De Bruyne na Silva. Akija Houssem na Partey anaweza adopt hii na 1 ikawa Partey halafu 2 ikawa Houssem na Willian.
mkuu, xhaka anacheza wapi hapo kati ya 1 na 2?
 
Elneny at your service...
Problem ni kuwa bila midfield imara usitegemee positive results kila mara,forward zetu ni one among the best in the world na pia tumejitahidi eneo la defence ila mpaka sasa timu haijabalance na Arteta ameshalisema hilo akijua kati bado pana udhaifu ukiangalia kwa jicho la 3 utaona nachokisema ila kwa macho mawili panaonekana papo

Barcelona haijawah kuwa na beki bora katika kipindi walichotesa Duniani but angalia midfield na washambuliaji wao walikuwaje timu pinzani zilikuwa hazichezi mpira hata kidogo ila angalia sasa hivi baada ya midfield kufa kifo cha mende
 
Nafasi ya Partey Arsenal inazibwa na Elneny. Sitoshangaa akimuopt Houssem over Partey.

Arteta Man city walikua wanacheza 4 3 3 ambayo ikinyumbuliwa inakua 4 1 2 3 ambapo hiyo 1 ni Dmf Lodi, na 2 ni amf De Bruyne na Silva. Akija Houssem na Partey anaweza adopt hii na 1 ikawa Partey halafu 2 ikawa Houssem na Willian.
Boss,Hii ni single pivot?
 
Problem ni kuwa bila midfield imara usitegemee positive results kila mara,forward zetu ni one among the best in the world na pia tumejitahidi eneo la defence ila mpaka sasa timu haijabalance na Arteta ameshalisema hilo akijua kati bado pana udhaifu ukiangalia kwa jicho la 3 utaona nachokisema ila kwa macho mawili panaonekana papo

Barcelona haijawah kuwa na beki bora katika kipindi walichotesa Duniani but angalia midfield na washambuliaji wao walikuwaje timu pinzani zilikuwa hazichezi mpira hata kidogo ila angalia sasa hivi baada ya midfield kufa kifo cha mende
Mimi nahusudu sana midfield katika timu. Hivyo usiwe na shaka nikikwambia Elneny ni mtu na nikikwambia kumuuza Torreira tunakosea.
 
Mimi nahusudu sana midfield katika. Hivyo usiwe na shaka nikikwambia Elneny ni mtu na nikikwambia kumuuza Torreira tunakosea.
Elneny ni kiungo mzuri ila sio first au second class midfield licha si kiungo mbaya ukitaka kuamini hilo huu ni mwaka wa ngapi Elneny anazurura timu tofauti ila hauziki kote huko?
 
Washika mitutu wenzangu,Ni kweli El neny kipindi Cha nyuma alikua 'mediocre player' kutokana na tactics mbovu za mwalimu wetu UNAI ama la,

Sote tumemuona katika hizi game mbili zilizopita,amecheza vema sana na ametu 'prove wrong' baadhi yetu na nakumbuka wakati line up yetu ya CS vs Liverpool imetoka kabla ya game,Kwenye platforms mbali mbali za arsenal watu walilalamika sana juu ya uwezo wa El neny lakini end of the day ikatokea Kama ilivotekea,

Hivo basi,Sisi Kama 'do and die' fans wa arsenal hatuna budi kumpa El neny mioyo yetu Kama tunavyowapa wechazaji wengine,kumbukeni hata XHAKA kipindi Cha UNAI alikua flop(mpaka kuna game akazomewa) lakini sasaivi yeye ndo engine ya timu yetu pendwa,

Honestly Nina Imani na El neny hususani kwenye rotation ya kikosi

#This time is for us
#COYG.
 
ili dili la huyu Raya mbona lina pesa nyingi sana! alafu wanataka na Runar kwa mpigo.....ukigeukia upande wa pili wa kupata viungo mbona arsenal inadai hakuna pesa mara mpaka waondoke watu ndo wajee! hii inakajee Aroon
Arsenal wanamtaka Raya kwa £10 na Runar kwa £1.5. Kwa hiyo itaigharimu Arsenal £11.5 kuwapata makipa wote wawili
 
ili dili la huyu Raya mbona lina pesa nyingi sana! alafu wanataka na Runar kwa mpigo.....ukigeukia upande wa pili wa kupata viungo mbona arsenal inadai hakuna pesa mara mpaka waondoke watu ndo wajee! hii inakajee Aroon
Hapo ndipo yanadhihirika Yale maneno ya C.E.O alisema

Hatutegemei hadi kuuza ili tununue ,

Kinachosababisha had sasa Ili waondoke watu ndio tusajiri ni Sheria za FA

Zinataka hawa wachezaji kutoka nje ya England wawe mwisho 17, sasa had sasa Arsenal inao 18 ,

Ndio maana hela ya Martinez ,tulitegemea isaidie kuboresha kiungo, lkn tumesikia walituma £10m kwa Brentford na ikakataliwa.

Hivo Arsenal watatuma £15m wampate Raya huyu GK, halafu wamuache kwa mkopo,

Kuna taarifa ilitoka Jana inasema atakapoondoka tu Toreira wataingiza MTU,

Na dili la toreira limekuwa complicated ,Arsenal hataki kuuza kwa hasara kubwa, Torino wanamtaka kwa mkopo watangulize £11m ,halafu £11m nyingine watalipa ila itategemea mech atakazocheza, na kama.wakifuzu European tournaments .

Dili limestak hapo,

Ila Arteta alituahidi bado timu ipo active kwenye usajiri,

Ofa ya Aouar itatumwa muda wowote ,

Leo James oley anasema Wakiondoka hawa fringes players , ndio tunasajiri

Zaidi soma hizi taarifa ...

Lyon have identified AC Milan's Lucas Paqueta as the replacement for Houssem Aouar. [L'Equipe Via independent]

Arteta wants to sign Houssem Aouar from Lyon and Atletico Madrid's Thomas Partey. Arsenal need to offload several fringe players before they can make further signings.
Torreira, Sokratis, Kolasinac, Ozil among players whose availability has been widely circulated. [@JamesOlley]

Arsenal are continuing to pursue a deal for Brentford goalkeeper David Raya after having a £10 million bid rejected, sources have told ESPN. Deal to sign Iceland international Runar Alex Runarsson from Dijon close to completion.

Sources: Arsenal want Raya despite bid rejection

Guardian: The Guardian understands Arteta would prioritise a move for Aouar if given a straight choice between the two (Aouar & Partey)
 
Like with the Gabriel case, Rúnar’s first part of the medical took place in France. He will arrive in London today to formally sign the papers.
Expected to be announced sooner rather than later!
 
Kuna tetes huenda Ozil asisajiriwe kwenye kikos cha EPL cha wachezaji 25

Ofa zimekuwa zikija anazikataa,
 
Arsenal Team News update:

- Luiz back in full training
- Sokratis in full training next week
- Smith Rowe in full training within 2 weeks
- Mari in full training by end of this month
- Mustafi & Chambers in full training in October
- Martinelli in full training by end of year
 
Telegraph: Brentford wamekataa dau la £10m kutoka Arsenal juu ya usajili wa golikipa David Raya.

Arsenal wana nia ya kumsajili Raya japo washampata Rúnarsson.

#coyg
 
Washika mitutu wenzangu,Ni kweli El neny kipindi Cha nyuma alikua 'mediocre player' kutokana na tactics mbovu za mwalimu wetu UNAI ama la,

Sote tumemuona katika hizi game mbili zilizopita,amecheza vema sana na ametu 'prove wrong' baadhi yetu na nakumbuka wakati line up yetu ya CS vs Liverpool imetoka kabla ya game,Kwenye platforms mbali mbali za arsenal watu walilalamika sana juu ya uwezo wa El neny lakini end of the day ikatokea Kama ilivotekea,

Hivo basi,Sisi Kama 'do and die' fans wa arsenal hatuna budi kumpa El neny mioyo yetu Kama tunavyowapa wechazaji wengine,kumbukeni hata XHAKA kipindi Cha UNAI alikua flop(mpaka kuna game akazomewa) lakini sasaivi yeye ndo engine ya timu yetu pendwa,

Honestly Nina Imani na El neny hususani kwenye rotation ya kikosi

#This time is for us
#COYG.
Kudos kwa maelezo.

Mtu wa katikati pale anatakiwa awe na spid, stamina, power, interception ability, passing ability, flexibility, pumzi, height ikiwa kubwa ni vyema ingawa kuna wenye height ndogo kama Verrati na Kante na wana perform vizuri, awe na finishing japo 65%.

Haya Elneny amerudi amecheza friendly moja, kisha akacheza game na Liva kisha akacheza game na Fulham.

Katika hizo characteristics nilizoweka hapo ni ngapi Elneny hana?

Game na Liva alikua anawapiga chenga wakina Keita mpaka Milner akawa bize kucheza rafu.

This guy anachohitaji ni kujiaminj tu. Partey akija asidhani itakua rahisi.
 
Back
Top Bottom