Ubingwa gani? Kama ni ligi sidhani. Labda Europa na hizi tournaments zingine.Ubingwa wetu mwaka huu.
1. Arsenal
2. Man city
3. Liverpool
4. Chelsea
5. Man u
Ingawa tukikukuruka na Europa itakua bonge moja la performance
Ubingwa gani? Kama ni ligi sidhani. Labda Europa na hizi tournaments zingine.Ubingwa wetu mwaka huu.
1. Arsenal
2. Man city
3. Liverpool
4. Chelsea
5. Man u
Both goalkeepers Runar #Runarsson & David #Raya will join #Arsenal this summer. #AFC

Mbal na kocha kwa ww unavy ona nafac hip yeny mapungufTuliza mihemko mkuu, kocha anajua zaidi, ngoja tuone nani kati yao atakuja
Xhaka hajui kukab yulBinafsi ningependa usajili wa Aouar sababu naona kiulinzi tumeimarika siku hizi, pia kiungo wetu (Xhaka na elneny) mara nyingi wanacheza eneo la chini sana na mipira inapotea eneo la juu kiurahisi, na ukiangalia vizuri utagundua mashambulizi yanapitita pembeni mara nyingi,sasa ningependa huyu mwarabu aje kuhold eneo la kiungo wa juu pale ili tuwe hatari sehemu zote.
Xhaka ni mzuri kwenye ku mark position,Ila kwenye one against one si mzuri sana..Xhaka hajui kukab yul
Kwa kweli xhaka ni Afisa Mipango! Asipokuwepo kwenye kikosi huwa tunayumba!.. Akiwepo pressure zetu zinashukaXhaka ni mzuri kwenye ku mark position,Ila kwenye one against one si mzuri sana..
All in all kwenye timu yetu yeye ndo afisa mipango..
Credit kwa babau wenger maana aliona mbali.
Maarsenyeto mpo mnajadili usajili pesa hamna nyie mtaaokota makombo haaahaa
The Guardian understands Arteta would prioritise a move for Aouar over Partey if given a straight choice between the two players. #Arsenal
![]()
Elneny at your service...Tuna fixtures tight sana in coming weeks hapo kwenye midfield lazima tupajenge mapema sikuwa nimefuatilia sana ratiba ipoje ila after game na West ham,fixtures zinazofuata si za kitoto
Boss tuna game tight sana...Tuna fixtures tight sana in coming weeks hapo kwenye midfield lazima tupajenge mapema sikuwa nimefuatilia sana ratiba ipoje ila after game na West ham,fixtures zinazofuata si za kitoto