Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sport Bild report Leverkusen will hold concrete talks this week with Sead Kolasinac. The fee for the Bosnian, who is under contract with #Arsenal until 2022, will amount to around €10m.
 
Safi sana Biashara inaendelea
Sport Bild report Leverkusen will hold concrete talks this week with Sead Kolasinac. The fee for the Bosnian, who is under contract with #Arsenal until 2022, will amount to around €10m.
 
Arsenal top Premier League shirt sales chart

Arsenal’s new 2020/21 home shirt has become the most in demand strip in the top four divisions of English football.

The Gunners have edged ahead of their rivals at the start of the new campaign in terms of kit sales, despite a massive 63% drop in demand for kits due to the ongoing financial impact from the coronavirus troubles.
 
partey anahitajika sana arsenal baada ya Mikel, PEA , Xhaka , leno partey anakuja kuwa mtu wa tano kwa umuhimu.

Partey akija anakuja kuleta balance ya timu kwa maana ya kumruhusu xhaka acheze namba 8 ambayo ndio namba yake halisi .

Xhaka akicheza namba nane hapo ndo tutashuhudia mvua ya magoli kutokana na diagonal pass kutoka kwa Xhaka kwenda kwa willian na Pea ambao wanaweza kufunga au kumpa Lacca akamalizia...

Ki ukweli arsenal inamwitaji partey kuliko wasanii wa bongo wanavyohitaji ma video vixen wenye misambwanda
IMG_20200903_214937.jpg
 
partey anahitajika sana arsenal baada ya Mikel, PEA , Xhaka , leno partey anakuja kuwa mtu wa tano kwa umuhimu.

Partey akija anakuja kuleta balance ya timu kwa maana ya kumruhusu xhaka acheze namba 8 ambayo ndio namba yake halisi .

Xhaka akicheza namba nane hapo ndo tutashuhudia mvua ya magoli kutokana na diagonal pass kutoka kwa Xhaka kwenda kwa willian na Pea ambao wanaweza kufunga au kumpa Lacca akamalizia...

Ki ukweli arsenal inamwitaji partey kuliko wasanii wa bongo wanavyohitaji ma video vixen wenye misambwandaView attachment 1571593
Aouar wa nn wa umuhimu partey kwanz
 
Téléfoot Chaine report that Arsenal will imminently make a €40m offer to Lyon for Houssem Aouar.
 
Triple sales
Arsenal are currently negotiating the sale of Torreira, Kolasinac and Sotratis to free of space for new arrivals notably Aouar, Partey and Alex Runersson (almost done).

-Sky Sport
 
Hivi deal gani inafaa ianze kufanywa kati ya hizi mbili?

Aouar au Partey

Kwa upande wangu ningependa sana waanze na Partey..

Nasikitika ninaposikia Aouar ndio no. 1 target ya Arsenal kwenye dirisha hili.

Tayari Arsenal wanao watu wa kutosha kwenye eneo analocheza Aouar la CAM, hata Willian pia anaongezeka hapo.

Ikianza hii deal ya Partey kwangu itakuwa poa sana!
 
Hata mimi naona Bora lianze dili la Partey
 
Hivi deal gani inafaa ianze kufanywa kati ya hizi mbili?

Aouar au Partey

Kwa upande wangu ningependa sana waanze na Partey..

Nasikitika ninaposikia Aouar ndio no. 1 target ya Arsenal kwenye dirisha hili.

Tayari Arsenal wanao watu wa kutosha kwenye eneo analocheza Aouar la CAM, hata Willian pia anaongezeka hapo.

Ikianza hii deal ya Partey kwangu itakuwa poa sana!
Binafsi ningependa usajili wa Aouar sababu naona kiulinzi tumeimarika siku hizi, pia kiungo wetu (Xhaka na elneny) mara nyingi wanacheza eneo la chini sana na mipira inapotea eneo la juu kiurahisi, na ukiangalia vizuri utagundua mashambulizi yanapitita pembeni mara nyingi,sasa ningependa huyu mwarabu aje kuhold eneo la kiungo wa juu pale ili tuwe hatari sehemu zote.
 
Pia nimesikia Lacazette anataka kuongeza mkataba wake. Naona huyu jamaa msimu huu atakuwa mtu hatari sana na atasababisha madhara kwa wapinzani ingawa naona kama watu hawajagundua hili bado.
Pia Willian, Lacazette , Auba na hata Ozil ambao ni wakongwe watawaachia urithi mzuri tu akina Martinelli, Smith-Rowe na Nelson na hata Pepe kwenye ushambuliaji. Nadhani baada ya miaka 2 Martinelli atakuwa moto wa kuotea mbali, so biashara ya kutafuta striker mpya baada ya Auba na Laca itakuwa siyo ngumu sana so huenda tusiwe na shida sana kutafuta wachezaji bora maana tuna kocha wa kuwaboresha kina Pepe, Nelson na Martinelli kama alivyowafanyia akina Sterling tunae.

Kila la kheri Gunners.
Arsenal wachezaji kinda ambao watakuja kuwa ni hatari in future na wapiga kazi ni wawili tu pekee Saka na Martinelli

Hao waliobakia viwango vyao ni vya kubahatisha bahatisha wameshapelekwa kwenye mikopo huko na mfano Nketiah mpaka Leeds akawa hapati namba na hata kuuzika hawauziki that's why Arteta anataka wachezaji bora tatizo linakuja akitaka kuuza wachezaji hawauziki ukiangalia ni bahati kubwa sana kumuuza Emi kwa 20milion ni bahati na Arteta asipokuwa makini kulazimisha dili dirisha litafungwa na hao wanaotaka kuuzwa watabaki hapo
 
Back
Top Bottom