Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal wachezaji kinda ambao watakuja kuwa ni hatari in future na wapiga kazi ni wawili tu pekee Saka na Martinelli

Hao waliobakia viwango vyao ni vya kubahatisha bahatisha wameshapelekwa kwenye mikopo huko na mfano Nketiah mpaka Leeds akawa hapati namba na hata kuuzika hawauziki that's why Arteta anataka wachezaji bora tatizo linakuja akitaka kuuza wachezaji hawauziki ukiangalia ni bahati kubwa sana kumuuza Emi kwa 20milion ni bahati na Arteta asipokuwa makini kulazimisha dili dirisha litafungwa na hao wanaotaka kuuzwa watabaki hapo
Ni bora wabaki wote ila mustafi aende hata bure.
Ana maboko ya hatar huyu jamaa dah
 
2015: "He has the attributes to become one of the club’s most important players." - Arteta on Bellerin

2016: "Mikel and his wife adopted me when I arrived. I was a kid and he's been a father to me." - Bellerin on Arteta

2020: Arteta manager and Bellerin vice captain.
 
Rúnar Alex Rúnarsson is close to joining Arsenal. He will sign a five-year contract with Arsenal & is undergoing a medical today. #afc

Rúnar Alex í læknisskoðun hjá Arsenal í dag - Tölfræðin í Frakklandi ekki góð - DVView attachment 1570226
Huyu kipa ana madhaifu yafuatayo.

- Mbovu kwa one vs one.

- Mbovu kwa mipira ya mbali.

- Mbovu kwa faulo.

Ana strengths hizi

- Pasi ndefu.

- Distribution.

Yaani ni kwamba Arsenal tumenunua Kepa Arrizabalaga tofauti ni kwamba huyu tunatumaini hatotaka mamlaka ya ukocha kama Kepa anavyoifanyia Chelsea.
 
TELEFOOT - Arsenal watatuma ofa ya zaidi ya €40m kumsajili Houssem Aouar kutoka Lyon. Arteta amempa Aouar kipaumbele zaidi katika dirisha hili.

TELEFOOT habari zao ni za kweli 100%,
 
Arsenal will receive £1m from Chuba Akpom’s £4m move to Middlesbrough, from PAOK
Dah! Umenikumbusha huyu dogo, alikuwa na future nzuri pale Arsenal..

Ila shida ni ile ile, hawa vijana wadogo wanatuchelewesha sana! Bora tulipiga bei mapema.
 
Muda utaongea
Screenshot_20200917-100348.jpg
 
Huyu anakuja , zinasubiriwa departure za Toreira na Kolasinac wiki hii,

Ofa ya €40m + 10 adds ons itapokelewa


Kwa Partey wamekaza ,na Atletico wamechoka kusubiri ,

Mwisho wa siku watapokea tu €40m


Kwasasa Arsenal ina non home grown wengi, hivo had wapungue ndio watu waingie.
 
Arsenal will soon make an offer of over £36m(€40m) for Lyon midfielder Houssem Aouar, according to reports...
IMG_20200917_110813_036.JPG
 
Aouar would like to join Arsenal and the club has contacted his agent multiple times this summer (@FabrizioRomano)
 
Back
Top Bottom