Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Arteta confirms Arsenal could add another keeper apart from Rúnarsson but that will depend on the 3rd keeper situation (Macey)
Kwahiyo anafanya makusudi yaani. Bale alisema "Mimi kuondoka nataka isipokua klabu ndiyo inafanya mambo yawe magumu" ila kwa Ozil ni "Mi kuondoka sitaki ingawa klabu inatak niondoke"Kuna tetes huenda Ozil asisajiriwe kwenye kikos cha EPL cha wachezaji 25
Ofa zimekuwa zikija anazikataa,
Kwahiyo ichezwe 4 2 1 3..kama ni 1 basi atakuwa anacheza namba 6, kiuwalisia jamaa sio mzuri kabisa, xhaka ni mzuri kwenye 8 ambapo anapiga mipira mirefu na kusambaz kwa chini na kufunga kwa mbali!
Personal terms ni kikwazoKwahiyo anafanya makusudi yaani. Bale alisema "Mimi kuondoka nataka isipokua klabu ndiyo inafanya mambo yawe magumu" ila kwa Ozil ni "Mi kuondoka sitaki ingawa klabu inatak niondoke"
Anyway, kuna wachezaji huuzwa hata kama hawataki, Bekham kwenda Madrid, Vidal kwenda Barcelona, Reguillon kwenda Tottenham n.k. kwanini kwa Ozil hii haiwezekani?
Yaani Arsenal ikakuballiana na timu inayomtaka Ozil na akaenda hata kama hataki haiwezekani?
Boss,Hapa it seems terms za contract zina 'mfavour' sana ozil kuliko club,Na jamaa anatumia advantage hiyo kutu 'kill',Maana hapa karibuni zimekuja offer kibao na jamaa amezikataa..Kwahiyo anafanya makusudi yaani. Bale alisema "Mimi kuondoka nataka isipokua klabu ndiyo inafanya mambo yawe magumu" ila kwa Ozil ni "Mi kuondoka sitaki ingawa klabu inatak niondoke"
Anyway, kuna wachezaji huuzwa hata kama hawataki, Bekham kwenda Madrid, Vidal kwenda Barcelona, Reguillon kwenda Tottenham n.k. kwanini kwa Ozil hii haiwezekani?
Yaani Arsenal ikakuballiana na timu inayomtaka Ozil na akaenda hata kama hataki haiwezekani?
Kinachoiuma team wanatoa 350k per week for nothing..Personal terms ni kikwazo
Sidhan kama kuna timu ipo tyr kumlipa £350k
Halafu sidhan kama Ozil yupo tayari kupunguza mshahara wake
Bale mwenyewe imebid real na tot wagawane kumlipa
Huyu Dawa yake ,analetwa Aouar halafu yeye hawamsajiri kwenye FA registration ,
Ichezwe 4 2 4.Can Arteta throw Nicolas Pépé into the mix in addition to the front line of Aubameyang, Lacazette and Willian? Had a look with the help of @Zonal_Marking, whose leftfield suggestion is Pépé as a freestyle number 10. Interesting! For @TheAthleticUK
How Arteta could fit Aubameyang, Lacazette, Willian and Pepe into the same sideView attachment 1573441
inaweza kuwa the other way round, Emi anataka apate regular first number,lakini haiwezekani, ameamua kuondoka kwenye timu kubwa na kuangalia opportunity iliyopo Aston Villa aone kama anaweza kuimarisha kiwango chake na kuwa No.1 wa ArgentinaManeno muhimu sana haya kutoka kwa Arteta. Ukichimba utamuelewa anamaanisha niniView attachment 1573443
Kuna sehemu kasema"
if you need to achieve something, you have to sacrifice others"
Arsenal yetu tunajua sahiv inatajwa kwa watu watatu tu; partey, Aouar na Raya.
Hawa ndio hiyo something tunayohitaji kuachieve na Emmi amekuwa sacrificed.
Nitashangaa sana sana kama hatutapata wawili kati ya hao
umeona wanavyopoteana sasa hivi? PSG imekuwa kama ngoma ya kijiji, kila mtu anajipigia kwa wakati wakeIchezwe 4 2 4.
4 huko mbele iwe Saka, Aubameyang, Lacazette, Willian na Pepe.
Hii formation inachezwa na PSG.
Ichezwe 4 2 4.
4 huko mbele iwe Saka, Aubameyang, Lacazette, Willian na Pepe.
Hii formation inachezwa na PSG.
Hujui mpirahizi formation za ki Unai emery
Hii formation hua inataka kuwatumia superstars wote walio kwenye timu.umeona wanavyopoteana sasa hivi? PSG imekuwa kama ngoma ya kijiji, kila mtu anajipigia kwa wakati wake
Mkuu humu Jf usimwambie mtu kuwa hajui..Hujui mpira
Guilty as charged.Mkuu humu Jf usimwambie mtu kuwa hajui..
Kuna muda inatokea tu mtu anateleza ila si vyema kumwambia mtu hajui!
hakuna tatizo