Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sky Sport News:

It seems Arsenal are freeing up money (sale of Torreira, Sokratis & Kolasinac) to make moves for their big targets.
 
Huyu anakuja , zinasubiriwa departure za Toreira na Kolasinac wiki hii,

Ofa ya €40m + 10 adds ons itapokelewa

Kwa Partey wamekaza ,na Atletico wamechoka kusubiri ,

Mwisho wa siku watapokea tu €40m

Kwasasa Arsenal ina non home grown wengi, hivo had wapungue ndio watu waingie.
Nakuelewa sana na huu mwaka furaha upande wetu itazidi kwani nina imani ya kutosha na mwalimu Arteta
 
HAWA TELEGRAPH WANAMUWEKAJE NJE XHAKA?

According to @TeleFootball, they predicted #AFC lineup for the new season with both Aouar & Partey in the XI:

Leno, Bellerin, Saliba, Gabriel, Tierney, Partey, Ceballos, Willian, Aouar, Pepe, Aubameyang.
Kwa uelewa wangu nahisi 'wame aim' kwenye 4-3-3 diamond.
 
Hiyo sio simba na Yanga kwamba unaweza kupanga kikosi. Wazungu wanapanga kikosi kimbinu.
 
HAWA TELEGRAPH WANAMUWEKAJE NJE XHAKA?

According to @TeleFootball, they predicted #AFC lineup for the new season with both Aouar & Partey in the XI:

Leno, Bellerin, Saliba, Gabriel, Tierney, Partey, Ceballos, Willian, Aouar, Pepe, Aubameyang.
4-3-3 diamond yenye single pivot..

Xhaka ni mzuri kwenye double pivot.
 
Huyu kipa ana madhaifu yafuatayo.

- Mbovu kwa one vs one.

- Mbovu kwa mipira ya mbali.

- Mbovu kwa faulo.

Ana strengths hizi

- Pasi ndefu.

- Distribution.

Yaani ni kwamba Arsenal tumenunua Kepa Arrizabalaga tofauti ni kwamba huyu tunatumaini hatotaka mamlaka ya ukocha kama Kepa anavyoifanyia Chelsea.

Si kweli kwa baadhi ya sehemu kama. One against one
Na mipira ya mbali si kweli si kweli
Sijui kama umewahi mfatilia hapo kabla huyu kijana
He is a best goalkeeper.
 
Si kweli kwa baadhi ya sehemu kama. One against one
Na mipira ya mbali si kweli si kweli
Sijui kama umewahi mfatilia hapo kabla huyu kijana
He is a best goalkeeper.
Mimi nimeangalia takwimu. Kusema nimewahi kumfuatilia utakua uongo maana hata kumjua ni kwavile Arsenal tumehusishwa naye.

Wewe umewahi kumfuatilia?
 
Arsenal are expected to conduct a medical with Icelandic goalkeeper Runar Alex Runarsson by the end of Wednesday, ahead of his proposed transfer from Ligue 1 side Dijon.
 
Kwa uelewa wangu nahisi 'wame aim' kwenye 4-3-3 diamond.
Mimi naona kama ni 4-2-3-1, partey na ceballos kwa base ya middle 3, aouar nyuma ya auba na Willian na pepe in their respective sides.Question is, when is auba more effective, facing the goalpost for tap inns and headers or while in motion?
 
Mimi naona kama ni 4-2-3-1, partey na ceballos kwa base ya middle 3, aouor nyuma ya auba na Willian na pepe in their respective sides.Question is, when is auba more effective, facing the goalpost for tap inns and headers or while in motion?
Kwenye huu mfumo bro,Nahisi Kati ya pepe au willian mmoja lazima akae benchi ili ampishe lacca acheze striker,Afu auba atokee pembeni Kama RW ambapo mostly ndo anakuaga wa moto..

Option 2,Auba atokee pembeni Kama RW na willian acheze false 9 afu pepe acheze Kama LW

Auba akitokea pembeniii ni wa moto balaa..
 
Runar Alex Runarsson medical to happen today although any deal unlikely to be struck in time for him to be in squad to face West Ham on Saturday.

Also understand talks have opened with Leverkusen over sale of Sead Kolasinac but are at a very early stage. #AFC
 
Lyon want around €50m for Aouar. Aouar wants to join. By the way, he was the first first to start reporting that Gabriel was coming!
Arsenal will make a new bid for Houssem Aouar. The player would like to play in the Premier League for Arsenal. Lyon expects an offer close to €50m. [@86_longo, CalcioMercato] #afc
 
Binafsi pepe nimeshamtoa kwenye first 11, sioni Willian akikalia benchi, na pia ili pepe apate nafasi ni lazima Auba acheze kama CF kitu ambacho ni ngumu sana, labda itokee kwenye mechi mojamoja.
Pepe ame lack vitu vidogo sana Kama akiwa willing kuvifanyia kazi,Ule upande wa kulia utakua wa moto Kama ulivo upande wa auba
 
Pepe ame lack vitu vidogo sana Kama akiwa willing kuvifanyia kazi,Ule upande wa kulia utakua wa moto Kama ulivo upande wa auba
Naelewa vizuri mkuu, binafsi namuona ni mwafrika mwenye kipaji cha kibrazil lakini Maturity inamsumbua,ngoja tuone msimu huu km atauwasha moto
 
Back
Top Bottom