Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ndio mkome khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee lakini wewe si huna timu chacha mamabos ya choka oops soka yanakuwashia nini?

ANY EPL team is assumed to have a chance of more than 99% to beat a championship team, sasa sielewi salamu za pongezi ndeeeeefu utadhani mmechukua UCL chanzo chake ni nini!
 
ANY EPL team is assumed to have a chance of more than 99% to beat a championship team, sasa sielewi salamu za pongezi ndeeeeefu utadhani mmechukua UCL chanzo chake ni nini!

Mkuu usijali ndio soka hiyo. Tunafahamu timu yako ni ... .... ndio sababu hutaki kuisema kwa sababu unaogopa siku mkipigwa magoli huna pa kukimbilia, si unawaona Chelsick Ooops ndio timu yako chijui wameingia mitini khe khe kheeeeeeeeeeeee

BTW si umeona pics hapa .... ....https://www.jamiiforums.com/sports-an...ml#post1517250 yaani baada ya kuangalia soka unaangalia vile vile ufundi wa wapiga picha ziwahi hapo juu maana ukingoja kesho utakuwa umechelewa.

khe khe kheeeeeeeeeeeeee
 
???????????

Vp umeonja kangara?
 
Dah, basi leo hatunywi maji!

ANY EPL team is assumed to have a chance of more than 99% to beat a championship team, sasa sielewi salamu za pongezi ndeeeeefu utadhani mmechukua UCL chanzo chake ni nini!

♫
hasira za nini wee bwana
hasira za nini wee bwana
wataka kuniua bure baba
wataka kuniua bure baba

wewe una wako nyumbani
nami nina wangu nyumbani
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe
chuki ya nini kati yangu
mimi na wewe ♪.

Silvio-Berlusconi---AC-Mi-006.jpg

...kibabu cha AC Milan hiki, 'kishongoooooooo!'..ha ha ha,...
Rossoneri mnaishabikia Chelski sababu ya Acheni Lote???
 
Arsenal tunajidai kweli, hadi mistari ya music tunayo...ngoja nitafute hela ili tupeleka watu studio kulekodi......hasira za nini...!!
next..Wigan
 
It seems blindingly obvious that Nasri is our player to keep. Past 4 matches have shown that only when he plays, Arsenal plays. It's not Fabregas as it showed in the most forgettable match against Ipswich. Nasri is the spark to give goals. Only when Nasri plays can Arsenal afford to give playing time to duds like Arshavin, Bendtner and Denilson. Fabregas will go for sure. He's not in my plans. Nasri will take over his place in the middle along with Jackie and Song. Get one proper winger in Eden Hazard and have Walcott as well, we are complete in midfield for starting lineup. The Arsenal backbone shall consists of Van Persie, Walcott, Nasri, Jackie, Song, Vermaelen, JD, Sagna, Sczenzy fit. If Wenger thinks otherwise, then Arsenal is good as dead.
 
Arsenal v Wigan line-ups
Arsenal: Szczesny, Sagna, Djourou, Koscielny, Clichy, Song, Wilshere, Walcott, Fabregas, Nasri, van Persie. Subs: Shea, Denilson, Arshavin, Eboue, Gibbs, Chamakh, Bendtner.
Wigan: Al Habsi, Gohouri, Gary Caldwell, Steven Caldwell, Figueroa, Thomas, Diame, Stam, Watson, N'Zogbia, Rodallega. Subs: Pollitt, McCarthy, Di Santo, Gomez, McArthur, Boyce, McManaman.
Referee: Kevin Friend (Leicestershire)
 
Szczesny, Sagna, Djourou, Koscielny, Clichy, Song, Wilshere, Walcott, Fabregas, Nasri, van Persie

With this squad we'll Kill this Wigan No matter what...Mungu ijaalia Arsenal...Mungu Ijaalie FURAHA YANGU.......
 
Amen

Ile chance ya FAB angeipata NASRI angemminya yule Jamaa kama alivyofanya ile Game na FULHAM.....Xhance ya pili hii inapotea....Ya kwanza aliipata RVP......Kipa akacheza na hii beki kablock.....Ila kiama chao kinakuja....
 
Fab is LIMPING....May Be anaweza TOKA........Itakua Mbaya sana......
 
Persi kafanya vitu vyake sisi 1 wao 0
 
Man U wanacheza na B'Ham leo...same time with this Goonerz Game....But BECKHAM yupo EMIRATES anaangalia How "FOOTBALL IS PLAYED" Glad to c him watching FOOTBALL...
 
RVP Puts us infront...................1-0.................HUREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Hawa jamaa sijui wana zali gani?????? Its a good defending from them......Walcott with a clear chance akampa pasi NASRI then Beki yao ikaokoa......
 
Ingekua BONGO ningesema HUYU KIPA ana KIZIZI..............Anaokoa Kinyama...............Kudadadeki...sijui kala nini tu huyu........
 
HT.....1-0...But so far huyu kipa Al Habsi Ndo man of the Match kwa analysis Yangu.....
 
Ingekua BONGO ningesema HUYU KIPA ana KIZIZI..............Anaokoa Kinyama...............Kudadadeki...sijui kala nini tu huyu........

...kama j'5 Schmeichel wa Leeds alivyokuwa "anataka sifa"...
huwezi jua bana, labda wanamtumia 'meseji' Arsene Wenger!
 
Back
Top Bottom