Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

That is the Meaning of STRIKER......Hope Chamackh and Arshavin wameona who is a finisher......
 
Naombeni msaada wenu tafadhari hapo chini kuna Member 11 na Guest 6
lakini nikihesabu naona ni member tisa je kuna member wengine hawaonekani majina yao?

There are currently 17 users browsing this thread. (11 members and 6 guests)
..............
Inawezekana wapo wanaofutilia kwa simu . majina yao hayatokei
Am not sure though. Its just a guess
 
RVP ni zaidi ya Nouma....Hizi TURN anazomake ni za Kiwango cha JUU.............
 
Mkuu nimeikubali cross ya Bendtner imezaa matunda.Huyu dogo akitulia anaweza kuwa mzuri.

Yes Arshavin akizubaa anaweza kuzidiwa na huyu jamaaa
Teh teh Tena ukizingatia kocha wetu kigezo kikibwa ni umri. Usishangae akiulizwa kati ya kumuuza Bendtner na Arshavin akasema Arshavin. Kiwango alichonacho nacho Arshavin inabidi akaze buti kama zamani
 
Leeds wamechukia wasijetuumizia wachezaji bure

Hili neno linanikumbushe enzi zangu za UMITASHUMITA na UMISETA pale nilipokuwa nasukuma soka skuli...Nje wadada walikua wakilitumia sana pale nilipokuwa nafanyiwa Madhambi..."USINIMIZIE" kwa sauti Mororo sana...Ilikua RAAAAAHA Saaana...
 
....pamoja wakuu! :msela:....ha ha!
Watching Arsenal ni burudani tosha.
 
Hili neno linanikumbushe enzi zangu za UMITASHUMITA na UMISETA pale nilipokuwa nasukuma soka skuli...Nje wadada walikua wakilitumia sana pale nilipokuwa nafanyiwa Madhambi..."USINIMIZIE" kwa sauti Mororo sana...Ilikua RAAAAAHA Saaana...
Ha ha ha Mkuu umenikumbusha mbali sana, Hapo tunakipiga LAKE SECONDARY NA BUSWELU uwanja wa Nyamagana we acha tu.

Hili neno linanikumbushe enzi zangu za UMITASHUMITA na UMISETA pale nilipokuwa nasukuma soka skuli...Nje wadada walikua wakilitumia sana pale nilipokuwa nafanyiwa Madhambi..."USINIMIZIE" kwa sauti Mororo sana...Ilikua RAAAAAHA Saaana...

Usikute wewe ndio nilikuwa nakupiga makanzu
hahahaha joking
 
Naona madogo wako speed kuchukua jezi za mastaa kwa ukumbusho ha ha ha
 
Back
Top Bottom