Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona ngoma imekwisha afadhali wamenyoosha miguu kidogo ... ..... ..... mwaka huu kitaeleweka tu.
 
Usikute wewe ndio nilikuwa nakupiga makanzu
hahahaha joking

Hahahahaaaaa....Kaka nilikua Bonge la MIDO...basi tu nchi yangu TZ haina Miundombinu ya Kuinua vipaji....Skuli bado mtu unasoma Masomo KIBAO hata Hujui utakua nani ukishakua Mtu mzima....Watu tumekosa AMBITION kabisa...matokeo ya form 4, 6 na ya kitaa ndo yanaamua UWE nani katika life but otherwise mimi ningekua zaidi ya FABREGAS......TRUST ME..........
 
Jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Bendtner kakipiga sana leo hasa kipindi cha pili katoa mapande ya muhimu na lile la tatu bonge la pande
 
Sasa wewe ndo umeharibu kabisa mangula cup unaikumbuka ulikuwa na cocacola cup hapo ilikuwa noma

Duuuuh!!!! wewe ni mate kabisa man....Koz nilikua NSUMBA pale na kulikua na shule zingine kama MWANZA SEC, PAMBA, TAQWA, THAQAAFA, NYEGEZI SEMINARY etc......Nyamagana ilikua inakua Full Fujo......Sweet memories pal...
 
Hahahahaaaaa....Kaka nilikua Bonge la MIDO...basi tu nchi yangu TZ haina Miundombinu ya Kuinua vipaji....Skuli bado mtu unasoma Masomo KIBAO hata Hujui utakua nani ukishakua Mtu mzima....Watu tumekosa AMBITION kabisa...matokeo ya form 4, 6 na ya kitaa ndo yanaamua UWE nani katika life but otherwise mimi ningekua zaidi ya FABREGAS......TRUST ME..........

Kweli kabisa mkuu mimi hata vijisenti vya kwenda tution nilikuwa kwend kutazama mechi au kuchagia timu ya kitaa. utotoni.au Primary nimechapwa sana viboko sababu ya mpira. Ila wazazi wanaona mbali sijui soka ya bongo ingenifikisha wapi .
yaani darasani unakuwa wa 15 mzazi anakumbia ukiacha na mambo ya soka unakuwa wa kwanza kuacha mambo ya soka bado nikawa wa 20. Hapo wakaona dawa niruhusiwe mpira jumamosi na jumapili tu.

Dah hahahah wa kweli tumetoka mbali
 
Duuuuh!!!! wewe ni mate kabisa man....Koz nilikua NSUMBA pale na kulikua na shule zingine kama MWANZA SEC, PAMBA, TAQWA, THAQAAFA, NYEGEZI SEMINARY etc......Nyamagana ilikua inakua Full Fujo......Sweet memories pal...
Kumbe ni wewe uliyekuwa ukiwasumbua madada zetu wa Nganza,Ukiwadanganya kuwa unasoma Social.

Duuuuh!!!! wewe ni mate kabisa man....Koz nilikua NSUMBA pale na kulikua na shule zingine kama MWANZA SEC, PAMBA, TAQWA, THAQAAFA, NYEGEZI SEMINARY etc......Nyamagana ilikua inakua Full Fujo......Sweet memories pal...

hahaha nyie mademu zenu ndio walikuwa wa Ngaza gi sio. Lol mmenikumbusha mbali sana
 
Siwezi kuwa Mnafiki....LEO nimekuwa Very happy...Thread ilikua live all 94 minutes....Thanx kwa wadau wenzangu kama Wacha1, Arsene Wenger, RAY B, Mtazamaji, Mtani wetu "ACID" (Alikuaja kututupia jicho kidogo), Ng'wanza Madaso, Mbu na wadau wote walioamua ku "MUTE" this was very nice. Reading from u was so good and all in all chama letu kuichapa Leeds kumekamilisha RAHA ya mechi hii.....Tuwe namna hii kila tunapopata nafasi...siku zote UMOJA NI NGUVU.....(SINGULAR IS POWER) (joke ila kuna mwana aliwahi kuitoa class enzi hizo) ONE LOVE WADAU.....
 
Mkuu nimeikubali cross ya Bendtner imezaa matunda.Huyu dogo akitulia anaweza kuwa mzuri.

...Bendtner leo kacheza vizuri sana, Andrei Arshavin mmnhh...sijui nini kimemsibu...
Isije ikawa "Russia 2018" imemuathiri kama ilivyomtoa mood "father Xmas" wa Chelsea kuishabikia team yake...
...ha ha!
romanabram.jpg
 
Kuna wakati huwa nadhani huyu Arshavin kabla hajaingia uwanjani huwa anapiga fundo za Vodka akidhani itamuongezea ufanisi uwanjani kumbe ndo anajimaliza.
 
Duh! Ushindi mzuri hamuoni Mafioso humu wote wameunyuti hata Manure hawaonekani chichi mwaka huu lazima tuwafundishe soka sio kubutuabutua tu .
 
Saturday, 22 January 2011
Barclays Premier League
Arsenal v Wigan, 15:00
Tuesday, 25 January 2011
Carling Cup
Arsenal v Ipswich, (agg 0-1), SF, L2, 19:45
Tuesday, 1 February 2011
Barclays Premier League
Arsenal v Everton, 19:45
Saturday, 5 February 2011
Barclays Premier League
Newcastle v Arsenal, 15:00
Saturday, 12 February 2011
Barclays Premier League
Arsenal v Wolverhampton, 15:00
Wednesday, 16 February 2011
Uefa Champions League
Arsenal v Barcelona, R1, L1, 19:45

Hapo penye Blue ndo ninapasubiri....But trust me with this form.....we knock them out......Its going to be tough though...
 
http://community.guinnessworldrecords.com

The youngest Champions League team

December records
Arsenal have developed a reputation under Arsene Wenger for giving opportunities to young players. As the London club had already qualified for the second phase of the Champions League the Frenchman lived up to that reputation in record-breaking fashion.

Pictured below is the Arsenal team who took on Greek Champions Olympiacos on 9 December 2009, a.k.a the Champions League team with the youngest average age. The starting XI averaged out at just 20.9 years old – a whole 7 months younger on average than the Ajax class of 2003 (including a young Rafael Van De Vaart, Wesley Sneijder and Zlatan Ibrahimovic) who were the previous record holders.
 
Wacha naona leo ni first time hujatundika picha za the sun baada ya mechi hawajaupdate bado nini?
 
Back
Top Bottom