Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
HT.....1-0...But so far huyu kipa Al Habsi Ndo man of the Match kwa analysis Yangu.....
asante sana mkuu kwa updates ndio naingia nyumbani hapa na nilikuwa nafatilia matokeo kwenye simu.
nakuunga mkono kumpa al habsi man of the match naona ana save 7.
Inabidi tuongeze magoli zaidi tuchukue points manake man united kashashinda 3 tayari.
Vipi mpira wetu lakini kwa ujumla kipindi cha kwanza?