Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

RVP ni Arsenal legend mpya, tulimsubiri kwa hamu aepukane na ma-injury kila msimu, huyu ndie mrithi wa Henry
 
ngapi ngapi wakuu si unajua wengine tupo elan'gatadapash
 
Game Over....3 goals....3 points....26 GD....moving up 2nd 4 a while....
 
This was a Brilliant, Perfect and excellent display from Gunnerz.....hii statistics tu inaonyesha how good we were in this game.....Shonts on Target 15-1 and shorts off Target ni 9-1......SWAFI sanaaaaaaaaaaaaaaaa....................Happy...HAP PY.....happy............HAPPY........
 
Sasa tunaangalia ya Tuesday na tumuondoe mnoko Ipswichi na nzuri zaidi hatuhitaji kusafiri tupo emirati baada ya hapo tena ni kumsubiri Everton, kwa mwendo huu na fomu ya Nasri na RVP tutagawa dozi ya tatu tatu kwa kwenda mbele wacha tu mechi na zishuke mfululizo. We don't care!
 
Game Over....3 goals....3 points....26 GD....moving up 2nd 4 a while....

Bado tunawakoromea wale MANU kooni, wanajua fika wakiteleza tu basi tunachukua usukani na kuwawashia indicator kwamba siye ndo tunaondoka.

Bado tunawakoromea wale MANU kooni, wanajua fika wakiteleza tu basi tunachukua usukani na kuwawashia indicator kwamba siye ndo tunaondoka.

Sure BAK......Lakini Ushindi wao wa 5 - 0 leo ni zawadi tosha kwa mashabiki wao na umewaweka pazuri sana kwenye tofauti ya magoli....Hata sisi isingekua huyu Kipa wao Alhabsi kuwa na ZALI then leo nasi tungewachapa WIKI........But its a great spirit from Boys.......
 
I have got a feeling that barca will try buy both nasri and fab in summer for like 100 mil
 
Sat 15 Jan W/ham 0 - Arsenal 3
Wed 19 Jan Leeds 1 - Arsenal 3
Sat 22 Jan Arsenal 3 - Wigan 0
Tues 25 Jan Arsenal (4)? - Ipswich 0
Sun 30 Jan Arsenal (6)? - Huddersfield 1
Tue 1 Feb Arsenal (3)? - Everton 0
January ni mwezi mzuri kwetu ndio tunaanza ku-hit form, atakaekuja hatuna simile ni kuanzia goli tatu kwenda mbele!! Shenzitaipu.
 
I have got a feeling that barca will try buy both nasri and fab in summer for like 100 mil

Mkuu Fab kuondoka sio neno haijalishi tunalijua hilo na ndio Wenger alimngangania asiende msimu huu ili kutafuta plan b (Wilshere/Ramsey) ila Nasri ama RVP hell no tutapigana mpaka dakika ya mwisho hawa hawana bei, wachia Barca hata City hawatoweza dau, NASRI is the best player in Premier league by miles! Hakuna Bales, sijui Van de Vart wala nani.
 
Sat 15 Jan W/ham 0 - Arsenal 3
Wed 19 Jan Leeds 1 - Arsenal 3
Sat 22 Jan Arsenal 3 - Wigan 0
Tues 25 Jan Arsenal (4)? - Ipswich 0
Sun 30 Jan Arsenal (6)? - Huddersfield 1
Tue 1 Feb Arsenal (3)? - Everton 0
January ni mwezi mzuri kwetu ndio tunaanza ku-hit form, atakaekuja hatuna simile ni kuanzia goli tatu kwenda mbele!! Shenzitaipu.

Mkuu Wacha kuwatisha wapinzani .... ...khe khe kheeeeeeeeeeee
 
Safi na tujipongeze wadau.
L eo nimefurahia mechi huku nikishushia the serengeti. teh teh Great win lakininikiangalia msimamao naona Man u wanatuzidi hata magoli. Hizi dozi za tatu tatu zikiendelea mambo yatakuwa mazuri
 
Arshavin mambo yanazidi kumuendea vibaya .ngoma yake ngumu sana na wala haoneshi kuongeza bidii japo kila mtu anazungumzia kiwango chake kilivyo shuka.

Arshavin hafungi tu mwaka huu lakini usisahau kwamba Arshavin ni miongoni mwa wachezaji wanaoongoza kwa assit kwenye EPL so far ... ....

Bado tunawakoromea wale MANU kooni, wanajua fika wakiteleza tu basi tunachukua usukani na kuwawashia indicator kwamba siye ndo tunaondoka.

Manure hawana kitu... .... wamebakiza mechi safi sana lazima wacheza na Mancs one tine at home, Chelsick twice home and away, Loserfools and then in May to come to the Emirates lazima tuwabangue wapende wasipende khe khe kheeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom