Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nakumbuka kuna miakaaleeds walitisha wakawa wanazichapa timu kwenye champions league.kina VIduka, Ian smith, Harry kewel na yule center half wao alikuwa msouth africa LUcas Radebe.Tuombe wasisawazishe
 
Refa amalize mpira hawa jamaa wanasawazisha muda si mrefu! Naona Gaudence Mwaikimba (Arshavin) nje anaingia Robin van Persie na anatpka (Juma Jabu) Chamakhi na anaingia Cesc
 
Nakumbuka kuna miakaaleeds walitisha wakawa wanazichapa timu kwenye champions league.kina VIduka, Ian smith, Harry kewel na yule center half wao alikuwa msouth africa LUcas Radebe.Tuombe wasisawazishe

Walitukosesha ubingwa hao watu uliowataja.....That tym walikua Sooo...ila hawa tutawamudu tena kwa hiyo SUB aliyofanya Wenger???? Wetu hawa...
 
Back
Top Bottom