Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ndugu zangu Aaron Arsenal gspain MalcolM XII 4 3 3 ingawa gspain amepoint kua ni tiki taka lakini hii hufanya kazi vyema ikiwa formation itakua na attacking fullbacks wa uhakika, kariba ya Hakimi, Davies, Arnold, Bellerin, Marcelo n.k.

Lakini ikitokea attacking fullbacks wakabanwa ndiyo utaona Liver anapigwa, Man City atapigwa na Wolves games mbili n.k. pia hii formation hua ngumu kushinda ikitokea timu pinzani ikacheza 3 5 2. Yaani hii formation ukikutana na mid ya upinzani yenye nguvu na pumzi basi mipango ndiyo inakua imeishia hapo.

Game ya PSG na Bayern tuliona jinsi Bayern alivyokaziwa akashinda moja bila tena aliyescore ni Coman mid ilishikiliwa na Davies akabanwa haswa.

Man U alivyocheza na Barcelona msimu uliopita UCL alicheza 4 3 3 mid yake ilishikiliwa kooni mpaka Man U nzima ikarudi golini.

Binafsi naamini sababu pekee timu zenye 4 3 3 zinafungwa ni ikitokea timu pinzani zinaweka 3 5 2 mfumo ambao timu ndogo nyingi ndiyo zinautumia na ndiyo zinazisurprise timu kubwa.

Kwa Arsenal yenye strikers zaidi ya 2 naamini 4 2 2 2 au 4 3 1 2 ni best kwetu, pia formation hii ni rahisi kushambulia na kurudi kukaba kwa haraka pia inakupa uwanja wa kucheza tiki taka au kaunta ukiamua.

Nakubaliana nawe kuwa kama huna players sahihi huu mfumo vijana wataku surprise. City ya msimu huu ambayo imekuwa na majeruhi wengi imefeli sana kwenye 4-3-3.

Hata Liver kwa viungo kama Hendo ambaye hanyumbuliki sana amewanyima ubunifu pale katikati na wamekuwa na option moja ya full backs tu ndio maana mwishoni mwa msimu team zimewabana.

Ikitokea mpinzani anacheza 3-5-2 kama Wolves na ana players wazuri namna ile, inabidi nawe ukubali kuswitch either kwenda 4-3-1-2 ama 3-4-3 ambayo ni variations za 4-3-3 za kujihami zaidi.

Tatizo la Liver na City, walikuwa wanaamini wamedevelop fear factor ambayo inawafanya wacommand game na si kufuata matakwa ya mpinzani ndicho kilicho wacost mara kadhaa, waliamini kwa pressing zao hawahitaji kuswitch formation. Sasa kinyume chake wao wanapresiwa na kufanya makosa yanayo wagharimu.

Kwa maoni yangu 4-3-3 ilichezwa effectively zaidi pale Barca ikiwa na
Fullbacks: Alves, Alba, Pique na Puyol/Mascherano
Midfilders: Xavi, Busquett na Iniesta
Mbele: Messi, Suarez na Neymar.
 
Jaman ozil sio mchezaji wa kutegemea tena amebaki na jina tu
Ha haaa, me bado naamini kama akijituma vizuri ni player mzuri sana na atatusaidia.

Nahisi hata Arteta ameamua kuanza kumtumia mwanzoni ili aone yaliyomo yamo? Nahisi kama akifanya vizuri Arsenal haitamsajili Aouar dirisha hili na badala yake watelekeza nguvu kwa Partey.

Ngoja tuone akipewa nafasi mechi za mwanzo atacheza vipi.
 
kama nyie mlivyojazana kwetu baada ya kushinda shilingi

😀😀😀😀 Ndiyo hivyo mkuu. Ndiyo mambo ya kishabiki hayo, msiba kwako sherehe kwangu. Tatizo kwenye mpira ni uliyemzidi leo utamtania sana, kesho atakuzidi atakutania sana vile vile. Natambua hilo ndo maana wakati nashine nahakikisha nakutambia vya kutosha. 😀😀😀
 
Ha haaa, me bado naamini kama akijituma vizuri ni player mzuri sana na atatusaidia.

Nahisi hata Arteta ameamua kuanza kumtumia mwanzoni ili aone yaliyomo yamo? Nahisi kama akifanya vizuri Arsenal haitamsajili Aouar dirisha hili na badala yake watelekeza nguvu kwa Partey.

Ngoja tuone akipewa nafasi mechi za mwanzo atacheza vipi.

Niko na wewe mkuu. Ingawa wamemstress sana jamaa ila kipaji anacho na uwezo wa kuchangia timu anao. Hivyo basi abaki na acheze na apewe ushirikiano wote.
 
Nakubaliana nawe kuwa kama huna players sahihi huu mfumo vijana wataku surprise. City ya msimu huu ambayo imekuwa na majeruhi wengi imefeli sana kwenye 4-3-3.

Hata Liver kwa viungo kama Hendo ambaye hanyumbuliki sana amewanyima ubunifu pale katikati na wamekuwa na option moja ya full backs tu ndio maana mwishoni mwa msimu team zimewabana.

Ikitokea mpinzani anacheza 3-5-2 kama Wolves na ana players wazuri namna ile, inabidi nawe ukubali kuswitch either kwenda 4-3-1-2 ama 3-4-3 ambayo ni variations za 4-3-3 za kujihami zaidi.

Tatizo la Liver na City, walikuwa wanaamini wamedevelop fear factor ambayo inawafanya wacommand game na si kufuata matakwa ya mpinzani ndicho kilicho wacost mara kadhaa, waliamini kwa pressing zao hawahitaji kuswitch formation. Sasa kinyume chake wao wanapresiwa na kufanya makosa yanayo wagharimu.

Kwa maoni yangu 4-3-3 ilichezwa effectively zaidi pale Barca ikiwa na
Fullbacks: Alves, Alba, Pique na Puyol/Mascherano
Midfilders: Xavi, Busquett na Iniesta
Mbele: Messi, Suarez na Neymar.
Tupa nondo mkuu,hivi vitu namkubaligi MosDef wa Liverpool
 
Huyu Ozil akiamua kukiwasha kwa commitment ni balaa, yaani wapinzani watachakaa pale Epl hadi wajute.

Kwa maoni yangu tukiwa na Ceballos sioni kazi ya Aouar kwa msimu huu labda tuzungumzie tu umuhimu wa squad depth na kwa kuwa Ceballos ni wa mkopo.
Tukubaliane Ozil wa sasa si unayemsema wewe huyu keshajichokea mbona kuna players wazuri kwa sasa EPL kuliko Ozil??Ozil wa 2008 up to 2016 sio wa 2019 na kuendelea ameshashindikana anatakiwa aende China au USA akamalizie football na kuchukua hela za ziada kama tunataka competitive team Ozil hatakiwi kuwa sehemu ya 11 eleven Never
 
mambo ya mfumo tumuachie kocha leteni taarifa za usajili
Mpaka sasa timu yangu upande wa midfield bado sijaskia usajili na hapa huwa ndo weakness yetu ilipo I am telling you mara mia beki zetu kuliko midfield partey angekuja hapo tungebalance timu 100 percent ila rumours ndio zimezagaa kila siku mara hivi mara vile
 
Picha: Granit Xhaka amerudi tu kutoka kwenye majukumu ya mechi za kimataifa, lakini amekuja kwenye mazoezi kuangalia tu
IMG_20200908_230821.jpg
IMG_20200908_230809.jpg
IMG_20200908_230806.jpg
 
Emi Martínez has rejected the latest offer from Arsenal, which has boosted Aston Villa’s chances of signing him [via - @GaryJacob].
the_gunnerz_tz-20200906-0005.jpg
 
Back
Top Bottom